Diamond avunja record

Diamond avunja record

kamwambie ilianza kisikika kabla ya 2009 na jamaa nyota ilianza kuwaka rasmi tangu enzi za ngoma yake ya jisachi na geez mabovu

2008 labda alikusikilizisha wewe pekeako geto,kwenye media imeanza kusikika kwenye 3/4 ya 2009.Hiyo Jisachi ft Mabovu & Ngwea ndo ilitoka 2008 nadhan but haikumtoa
 
kamwambie ilianza kisikika kabla ya 2009 na jamaa nyota ilianza kuwaka rasmi tangu enzi za ngoma yake ya jisachi na geez mabovu

Yani bora hata ungenidanganya 2010 maana ndo ulikuwa mwisho wangu kufatilia bongo flava kihivyo hiyo 2008 labda mlikuwa mnasikilizia ghetto huo wimbo ulianza kuhit 2009 mwishoni sanasana tena enzi hizo vyuo vinafunguliwa tukiwa chuoni rum nyingi ukipita Domo domo domo ndo alikuwa akihit.
 
miaka 7 ndani ya game bila kuchuja haijwaji kutokea katika historia ya mziki wa bongo kutoa hits kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfululizo
1.kamwambia 2008
2.mbagala
3.nitarejea
4.kesho
5.lala salama
6.muziki gani
7.number one 2014
na colabo za kutosha

unajua maana ya kuvunja rekodi?
 
miaka 7 ndani ya game bila kuchuja haijwaji kutokea katika historia ya mziki wa bongo kutoa hits kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfululizo
1.kamwambia 2008
2.mbagala
3.nitarejea
4.kesho
5.lala salama
6.muziki gani
7.number one 2014
na colabo za kutosha

Ni nani huyo?:what:
 
Huyu jamaa atakuwa sio riziki yani anampenda Domo kuliko hata wema anavyompenda domo, usishangae hata kwenye simu yake kajaza nyimbo za domo tu ndo maana anawaza kidomo domo zaidi!!
 
Mtu anayemkubali diamond namshangaa sana. Diamond katengenezwa na watu wachache wa media kwa manufaa yao tu binafsi lakini hatishi kiivyo. Wa kawaida sana.
 
Mtu anayemkubali diamond namshangaa sana. Diamond katengenezwa na watu wachache wa media kwa manufaa yao tu binafsi lakini hatishi kiivyo. Wa kawaida sana.

jamaa katoboa tena haijalishi katumia njia gani
 
miaka 7 ndani ya game bila kuchuja haijwaji kutokea katika historia ya mziki wa bongo kutoa hits kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfululizo
1.kamwambia 2008
2.mbagala
3.nitarejea
4.kesho
5.lala salama
6.muziki gani
7.number one 2014
na colabo za kutosha

Hapo naijua mbagala tu
 
Kamtoboa nani? Labda wewe.. anachokifanya sasa TID kafanya kitambo sana. Achilia mbali QChief Banana Zorro

daaa yaani hao ni washapoteaga.... Wote wana hits za maana kama 3 4 tu zingine zinapea na hawakuweza kukaa miaka 7 mfululizo bila kushuka kwenye chati kama mnyama platnum alivyoweza kudindisha miaka yote hiyo bila kuchoka
 
duh ! Katoboa tobooooo......mshimo huo!

kutoboa maana yake kutusua au life kulipitia denge au life kulibeba begani yaani kifupi sio sawa na wasanii wengine
 
Hapo naijua mbagala tu

pole sana yaani we ni mmoja katika bilioni moja google basi na kwa kifupi huyu ndio m bongo wa kwanza atakaechukua tunzo za chanel zaidi ya moja kwa mkupuo mda sio mrefu yupo katika categories kama tano hivi
 
Back
Top Bottom