kwahiyo we mwenzetu kipindi hiki huendi kabisa kazini?
Songea au singida?
Kuna mashekh humo ngoja na faizafox aje atuambie kiislamu imekaa je?
Mziki ni kazi ya anasa,Ndio maana madisco yameajiri watu na yanafungwa ni anasa
Kwani imeandikwa wapi mwezi huu mtu hautakiwi kufanyakazi inayokuingizia kipato......? Tumia akili ndio nyie mnashinda msikitini mpaka masheikh wanawafukuza