Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Sote tunajua Mohamed Dewji amitisha mkutano wa hadhara kuwajulisha wananchi wake mambo aliowafanyia katika kipindi cha uongozi wake.

Kwakujua sasa anahitaji attension kubwa amemualika Diamond kama mtumbuizaji na kufanya karibu mji mzima wanaopenda muziki haswa vijana na watoto kuvunja rekodi ya kujaza umati wa watu katika viwanja vya wazi peoples club.

Ukweli ni kwamba umati huu haujaelewa chochote zaidi ya kutaka kumuona Diamond akifanya yake ulingoni.

View attachment 266589
 
Kweli nimeamini pesa mwanaharamu, Hatime billionea dewji amfanya Diomond kukata viuno jukwaa mwezi mtukufu wa ramadhan.

Hayo yametokea leo kwenye mkutano wa kisiasa huko Mkoani Singida.

Kwa utamaduni na hekima wasaaniii wengi mwezi huu hukaa pembeni na kumwabudu zaidi mungu.

Daimond pesa zipo umechemka.
 
Mwezi mtukufu watu hawafanyi kazi? Diamond yupo kazini na anaingiza pesa.

Kuna mashekh humo ngoja na faizafox aje atuambie kiislamu imekaa je?
 
Last edited by a moderator:
Siasa za Tanzania ni mfumo fulani hivi wenye kujumuisha wapumbavu na wapumbazwa...

Kwa mtu muelewa ukishasikia tu kiongozi wa kisiasa kamualika mwanamuziki kutumbuiza katika mkutano, huyo mwanasiasa hajiamini...
 
ImageUploadedByJamiiForums1436364986.134248.jpg
 
Kuna mashekh humo ngoja na faizafox aje atuambie kiislamu imekaa je?

Uislamu uki very open, haumung'unyi maneno. Kwa mujibu wa uislamu MUZIKI NI HARAMU uwe umepigwa mwezi wa ramadhani au mwezi mwingine wowote.
Ukiona wanamuziki wanaojiita waislamu wanaacha kupiga show mwezi wa ramadhani tu kisha ramadhani ikiisha wanarudia kazi yao ,hao ni WANAFIKI na wanamcheza shere Mungu lakini hawajui kuwa wanajicheza shere wao wenyewe. MUNGU wanaojifanya wanamwabudu ramadhan ndio huyo huyo yupo miezi mingine. Kwa hiyo wao na huyo diamond wao wanatakiwa kurejea kwa mola wao katika miez YOTE 12 na watafute kazi mbadala za halali kuliko hiyo wanayoifanya
 
Last edited by a moderator:
Mziki ni kazi ya anasa,Ndio maana madisco yameajiri watu na yanafungwa ni anasa

Hivi kuna anasa zinazokubalika wakati ambao si wa mfungo? Anasa ni anasa tu bila kujali imefanyika kipindi gani. Acha kunyooshe wenzako kidole sisi hatujui ufanyayo usiku na mchana, mwachie Mungu amhukumu.
 
Hivi na kaswida sio muziki?..au we mwenzangu tafsiri ya mziki ni bongo flavour?...acha ubwe....g.e......ile ni kazi na kama ni dini na imani yako peleka kwa wanao coz diamond akujui na wala hamsaidii kutafuta hela chupi....mwache atafute pesa ya kwenda hijja na ww endelea kushinda msikitini ala atafikiria kuja kukufuturisha....
 
Kibo10

Vp yule mbunge wa viti maalum singida alikuepo???
 
Last edited by a moderator:
Kwani imeandikwa wapi mwezi huu mtu hautakiwi kufanyakazi inayokuingizia kipato......? Tumia akili ndio nyie mnashinda msikitini mpaka masheikh wanawafukuza

Hahahhaaaa mkuu nmecheka sana aiseee hta ckutegemea kukutana na jib km hli mweh!
 
Back
Top Bottom