Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

et kajaza show wakati ni bureeeee dogo anapenda sana show off zitamcost one day
 
Et show off we unajua dewji kamlipa tshs ngapi ela aliopewa n dewji Leo kiba kuipata n hadi December aunge unge n show za fiesta
 
Kweli nimeamini pesa mwanaharamu, Hatime billionea dewji amfanya Diomond kukata viuno jukwaa mwezi mtukufu wa ramadhan.
Hayo yametokea leo kwenye mkutano wa kisiasa huko Mkoani Singida.
Kwa utamaduni na hekima wasaaniii wengi mwezi huu hukaa pembeni na kumwabudu zaidi mungu.
Daimond pesa zipo umechemka.

Diamond kazi yake ni muziki na burudani, ndicho kitu kinachompa pesa na kumfanya ayaendesha maisha yake na ya familia inayomzunguka. Sasa wewe ulitaka akae bila kufanya kazi?
 
Watu wanamtetea,wanampenda diamond zaidi ya dini

Basi kwa nyie wenzetu wenye upeo naomba mfungue nyuzi za kupinga muziki maana dini hairuhusu kabisaaaaaaa, hapo ndio naona umburula mnaona dini ni mwezi mmoja tu??? acheni ukuda hapa Mwenyezi mungu sio mdogowako umdanganye kihivyo tuoneni hata aibu wakati mwingine, ni bora tu hayo mambo aachiwe kila mmojawetu yeye na nafsi yake....
 
Et show off we unajua dewji kamlipa tshs ngapi ela aliopewa n dewji Leo kiba kuipata n hadi December aunge unge n show za fiesta

kiba hana njaa na anafanya mziki kipaji ndo maana hayupo sirious kwani c aliitwa arusha na lowasa akachomoa huyo wanapiga pesa kina babu tale tu
 
Basi kwa nyie wenzetu wenye upeo naomba mfungue nyuzi za kupinga muziki maana dini hairuhusu kabisaaaaaaa, hapo ndio naona umburula mnaona dini ni mwezi mmoja tu??? acheni ukuda hapa Mwenyezi mungu sio mdogowako umdanganye kihivyo tuoneni hata aibu wakati mwingine, ni bora tu hayo mambo aachiwe kila mmojawetu yeye na nafsi yake....

Sasa kama unaenda kutingisha na kukata mauno umefunga ya nini
 
Umeckia wapi mkutano wa siasa una kiingilio

si wenzako wamesema kajaza ukumbi au umekurupuka tuu hayo mambo ya siasa na mziki muulizen marlow atawasimulia na misifa yake hiyo
 
kiba hana njaa na anafanya mziki kipaji ndo maana hayupo sirious kwani c aliitwa arusha na lowasa akachomoa huyo wanapiga pesa kina babu tale tu

😀😀😀😀😀 et alichomoa sio Ali chomoa aliogopa maana alijua dimond atakuwepo et kiba Hana njaaa alisema atafanya chekecha tour tz nzima mbona alifanya moshi n arusha ndo tz nzima unajua kwann haikuendeleea
 
Basi kwa nyie wenzetu wenye upeo naomba mfungue nyuzi za kupinga muziki maana dini hairuhusu kabisaaaaaaa, hapo ndio naona umburula mnaona dini ni mwezi mmoja tu??? acheni ukuda hapa Mwenyezi mungu sio mdogowako umdanganye kihivyo tuoneni hata aibu wakati mwingine, ni bora tu hayo mambo aachiwe kila mmojawetu yeye na nafsi yake....

diamond fans at work ! keep it up to make good music alive
 
Ndio kaja diamond unadhan angeenda dewji pekee yke uwanja ungejaa ivyo kajaza diamond uwanja huo

sijakataa kwani nimesema hajajaza tatizo lako ww kedrick ni moja tu yani unaandika kwa jaziba kama mtu unamuona live ok u hv won a competition but notat all&!!
 
Last edited by a moderator:

Mbona me cjandika kwa jazba y niwe n jazba sema nakupa facts take it easy
 
Last edited by a moderator:
😀😀😀😀😀 et alichomoa sio Ali chomoa aliogopa maana alijua dimond atakuwepo et kiba Hana njaaa alisema atafanya chekecha tour tz nzima mbona alifanya moshi n arusha ndo tz nzima unajua kwann haikuendeleea

sasa kiba aogope nn tena huyo msanii wenu angerushiwa makopo ashukuru akifanya show na kiba c tunadunda tu ----- huyo anachezea watoto wa k/koo nyambafuu
 
😀😀😀😀😀 et alichomoa sio Ali chomoa aliogopa maana alijua dimond atakuwepo et kiba Hana njaaa alisema atafanya chekecha tour tz nzima mbona alifanya moshi n arusha ndo tz nzima unajua kwann haikuendeleea

mbona diamond alisema atazindua tv yake mpaka leo hatuioni hivyo vitu ni kutafuta attention ya mashabiki tu basi
 
Back
Top Bottom