Nazani ujumbe wa Mondi unakuhusu maana jana nilikuona post fulani umepost kikudaendelea na maisha, hakuna haja ya kupambana na mashabiki mandazi, wao hawana status ila wewe mwenye status ndiyo utaonekana huna maana hata kama wao ndiyo wameanza kukuzodoa.
huyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.
Kwani account ya Instagram si yake Kwanini mumpangie cha kupostLimbukeni wa maisha huyu,uliambiwa kumpekeka mtu ili umliwaze ndio uweke matangazo,kwani usinge post huo uhayawani na upumbavu nani angeona,jiangalie wewe usije ukawa kituko katika jamii
Mnh!!! Sio kwa povu hili, wallah tena!!!! witness let's be honest bhana!!! Majority hapo ni haters, wengine hata kama sio haters lakini ni mashabiki wa shoga yako Wema Sepetu ambao hadi leo akili inagoma kwamba shoga'ko ndo keshatemwa, wengine ni wale ambao wana ukuda wa kuzaliwa nao utafikiri walimu wa enzi za Nyerere na wachache ni kweli ni mashabiki wa Diamond lakini ni wale ambao wanatamani angeendelea kuwa na Shoga'ko Wemaππππ!!!! Lakini kwa watu kama sisi ambao hatujali nani anafanya nini provided anafanya kazi; walaaa hatuna haja ya kugoma!!!Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hatukomi!!! Yaani Wabongo tunataka kumpenda msanii hadi na maisha yake binafsi!!! Tulivyo watu wa ajabu, huwa tuna-question hadi wanaoamua kuwa nao kimahusiano na kutaka wawe nao wale tunaowataka sisi!!!!
Haaaa haaaa...upogoooMnh!!! Sio kwa povu hili, wallah tena!!!! witness let's be honest bhana!!! Majority hapo ni haters, wengine hata kama sio haters lakini ni mashabiki wa shoga yako Wema Sepetu ambao hadi leo akili inagoma kwamba shoga'ko ndo keshatemwa, wengine ni wale ambao wana ukuda wa kuzaliwa nao utafikiri walimu wa enzi za Nyerere na wachache ni kweli ni mashabiki wa Diamond lakini ni wale ambao wanatamani angeendelea kuwa na Shoga'ko Wemaππππ!!!! Lakini kwa watu kama sisi ambao hatujali nani anafanya nini provided anafanya kazi; walaaa hatuna haja ya kugoma!!!
Btw, wewe unaangukia kundi gani hapo?
NOTE: REMEMBER, I know you ki-JF JF!!!
Hahaa!!! Nipo, sana tu sema nimechukua likizo majukwaa yangu pendwa... Celebrities na Entertainment! Nawaachia watoto muendelee kunyukana nami nimehamia kwa wazee wenzangu akina JokaKuu ambae sijawahi kumuona huku!!!!!!Haaaa haaaa...upogooo
So mi ni kichupi kunuka? (Kiddin lol)
Mambo bestica...miss u, long time I see!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya hovyo isiyo na maana yoyote!!! Kwani Zari ni mtoto mdogo ili tuhisi hakwenda kwa hiari yake bali alilazimishwa na Diamond?! Au kutokana na kauli yake ameonesha amepuuza kifo cha mamake Zari au ameonesha amelenga kumfariji mpenzi wake?!Huyo diamond kwa mfano mama yake akifa na yeye atafanya hayo anayofanya na zari??
Wherever the circumstances, nayeye atakuwa tayari kuonesha umma analiwazwa hivyo akifiwa na mama yake?Hoja ya hovyo isiyo na maana yoyote!!! Kwani Zari ni mtoto mdogo ili tuhisi hakwenda kwa hiari yake bali alilazimishwa na Diamond?! Au kutokana na kauli yake ameonesha amepuuza kifo cha mamake Zari au ameonesha amelenga kumfariji mpenzi wake?!
Wewe si ulikuwa team Kibakuli toka zamaniSijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaa ahaaaaa....best yangu kausha banaSasa sikiliza we mbwa koko!! Kama una stress za kupewa taraka au umefiwa na mume; use'nge wako peleka huko huko manake sina time na makahaba wajane!
Nice one kutwa kucha vigulu na njia kuongea ya wengine wakati yao yanawashindaDIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109