Mnh!!! Sio kwa povu hili, wallah tena!!!! witness let's be honest bhana!!! Majority hapo ni haters, wengine hata kama sio haters lakini ni mashabiki wa shoga yako Wema Sepetu ambao hadi leo akili inagoma kwamba shoga'ko ndo keshatemwa, wengine ni wale ambao wana ukuda wa kuzaliwa nao utafikiri walimu wa enzi za Nyerere na wachache ni kweli ni mashabiki wa Diamond lakini ni wale ambao wanatamani angeendelea kuwa na Shoga'ko Wema😀😀😀😀!!!! Lakini kwa watu kama sisi ambao hatujali nani anafanya nini provided anafanya kazi; walaaa hatuna haja ya kugoma!!!
Btw, wewe unaangukia kundi gani hapo?
NOTE: REMEMBER, I know you ki-JF JF!!!