Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

endelea na maisha, hakuna haja ya kupambana na mashabiki mandazi, wao hawana status ila wewe mwenye status ndiyo utaonekana huna maana hata kama wao ndiyo wameanza kukuzodoa.
Nazani ujumbe wa Mondi unakuhusu maana jana nilikuona post fulani umepost kikuda
 
Limbukeni wa maisha huyu,uliambiwa kumpekeka mtu ili umliwaze ndio uweke matangazo,kwani usinge post huo uhayawani na upumbavu nani angeona,jiangalie wewe usije ukawa kituko katika jamii
Kwani account ya Instagram si yake Kwanini mumpangie cha kupost
 
Day two
20394121_1946487562305466_2961522899988512768_n.jpg
 
Haya vichupi kunuka na viboxer uvundo 'Mpambane na mahusiano yenu'
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnh!!! Sio kwa povu hili, wallah tena!!!! witness let's be honest bhana!!! Majority hapo ni haters, wengine hata kama sio haters lakini ni mashabiki wa shoga yako Wema Sepetu ambao hadi leo akili inagoma kwamba shoga'ko ndo keshatemwa, wengine ni wale ambao wana ukuda wa kuzaliwa nao utafikiri walimu wa enzi za Nyerere na wachache ni kweli ni mashabiki wa Diamond lakini ni wale ambao wanatamani angeendelea kuwa na Shoga'ko Wema😀😀😀😀!!!! Lakini kwa watu kama sisi ambao hatujali nani anafanya nini provided anafanya kazi; walaaa hatuna haja ya kugoma!!!

Btw, wewe unaangukia kundi gani hapo?

NOTE: REMEMBER, I know you ki-JF JF!!!
 
Haaaa haaaa...upogooo

So mi ni kichupi kunuka? (Kiddin lol)

Mambo bestica...miss u, long time I see!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaa haaaa...upogooo

So mi ni kichupi kunuka? (Kiddin lol)

Mambo bestica...miss u, long time I see!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa!!! Nipo, sana tu sema nimechukua likizo majukwaa yangu pendwa... Celebrities na Entertainment! Nawaachia watoto muendelee kunyukana nami nimehamia kwa wazee wenzangu akina JokaKuu ambae sijawahi kumuona huku!!!!!!

And you know what? Mi mwenyewe nimeku-miss hadi nahisi tovu langu linazidi kurefuka kukutafuta unapatikana pande zipii!!! Sijui unakeshaga MMU wewe?! Manake huko napitaga kwa msimu!!!
 
Huyo diamond kwa mfano mama yake akifa na yeye atafanya hayo anayofanya na zari??
Hoja ya hovyo isiyo na maana yoyote!!! Kwani Zari ni mtoto mdogo ili tuhisi hakwenda kwa hiari yake bali alilazimishwa na Diamond?! Au kutokana na kauli yake ameonesha amepuuza kifo cha mamake Zari au ameonesha amelenga kumfariji mpenzi wake?!
 
Wherever the circumstances, nayeye atakuwa tayari kuonesha umma analiwazwa hivyo akifiwa na mama yake?
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ulikuwa team Kibakuli toka zamani
 
Sasa sikiliza we mbwa koko!! Kama una stress za kupewa taraka au umefiwa na mume; use'nge wako peleka huko huko manake sina time na makahaba wajane!
Ahaaaaa ahaaaaa....best yangu kausha bana

Unajiheshimu unaheshimika

Mbona nimetukanwa na vinuka chupi vya Domo nikakakusha sio kwamba sijui matusi! La hasha bali ni jus respect tuu!

Kweli best umeguswa khaaa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109
Nice one kutwa kucha vigulu na njia kuongea ya wengine wakati yao yanawashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom