Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Mmh bongo bana...namkumbuka na marehem steven kanumba RIP brother...alikuwa akipambanishwa na RAY but baada ya kuondoka angalia tathnia ya muvi bongo ishabaki ulimbo..na aliyejiita mpinzan RAY bado hana kitu...unafiki wa bongo na uzumbukuku ndio unaofanya wasanii wetu wawe wanagive up...
 
Thanks kwa kuwapa elimu...
 
Wape vipande vyao hawa wasio hata na mabanda ya kuku. kutwa kuponda wa tz wenzao wakifanya mema. wabongo tuna shida sana. nimekupenda bure chige
 
Kwa wanaosema kakosa tuzo ndio maana anatoa machungu kuonesha nyumba....nafikiri wengi mngetamani mkose tuzo kila siku ili muoneshe nyumba kama hio!
 
nakubaliana na wewe! ila kwa njuavyo mimi south huwezi nunua nyumba hadi umepewa permanent residence permit vipi kijana anayo au manuva flani!!!
 
Inabidi utafiti ufanyike tena ili tujue watz wangapi ni wachawi, mtu kupost mali yake roho inatuuma na mapovu juu khaa
 
Nilidhani ningekuta makaratasi ya manunuzi.
Lakini unaamini kuwa pesa ya kununua hiyo nyumba anayo,ila makaratasi ndio huamini kama anaweza kupewa ...........Nina amini unazo akili za kunijibu.
 
Lakini unaamini kuwa pesa ya kununua hiyo nyumba anayo,ila hati ndio huamini kama anaweza kupewa ...........Nina amini unazo akili za kunijibu.
Chamuhimu kuwa nacho ni hela au makaratasi ya hati.?
 
[emoji2] Look at this fool. Retarded individual!!

Tuzoo tuzooo Mara Nyumba ya ndomo kwendraaaa kafie getto

We unakaa Nyumba ya kupanga bongo huko unashabikia vya wengine tafuta vyako utakufa maskini kwa ushabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…