Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Mmh bongo bana...namkumbuka na marehem steven kanumba RIP brother...alikuwa akipambanishwa na RAY but baada ya kuondoka angalia tathnia ya muvi bongo ishabaki ulimbo..na aliyejiita mpinzan RAY bado hana kitu...unafiki wa bongo na uzumbukuku ndio unaofanya wasanii wetu wawe wanagive up...
 
That was not in response to Kiba's fans. Embu fanyeni hata research au kufuatilia mambo before writing stuff kama vile una proof. Do you remember the time Diamond alipost hii nyumba akasema amemnunulia Zari? Do you remember how many people walitokwa na mapovu kusema sio yake na kwamba iko kwenye market? Do you remember watz walipiga simu South kwa Estate Agent? Akina Mange Kimambo walivyoshangilia kusema Dai hawezi afford kununua hiyo nyumba?
Do you remember? Well, this post is to all those people who doubted him. Nothing to do with Kiba or stupid Ali Kiba fans. ( Ali is not stupid but most of his fans who hate Diamonds are)
Thanks kwa kuwapa elimu...
 
Wabongo bhana, lazima watafute pa kutia kasoro ili mradi tu kujifariji!! Eti south nyumba bei rahisi... mtu anaongea haya kwa namna ya kuponda wakati wao hata kibanda cha chumba 2 Bunju au hata Mbande hawana!! Wivu mwingine bhana wala hauna maana....! Wengine oh, kakosa tuzo... kwani ni mara yake ya kwanza kukosa tuzo? Ajabu, hao ni wale wale ambao walikuwa wanabisha kiasi cha wengine kutaka ushahidi wa hati... leo mnaoneshwa baba mwenye nyumba kaingia mjengoni mwake; hamtaki!!

Mtakufa maskini kwa ajili ya nafsi zenu kutawaliwa na husuda!!
Wape vipande vyao hawa wasio hata na mabanda ya kuku. kutwa kuponda wa tz wenzao wakifanya mema. wabongo tuna shida sana. nimekupenda bure chige
 
Kwa wanaosema kakosa tuzo ndio maana anatoa machungu kuonesha nyumba....nafikiri wengi mngetamani mkose tuzo kila siku ili muoneshe nyumba kama hio!
 
South nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
nakubaliana na wewe! ila kwa njuavyo mimi south huwezi nunua nyumba hadi umepewa permanent residence permit vipi kijana anayo au manuva flani!!!
 
Inabidi utafiti ufanyike tena ili tujue watz wangapi ni wachawi, mtu kupost mali yake roho inatuuma na mapovu juu khaa
 
Nilidhani ningekuta makaratasi ya manunuzi.
Lakini unaamini kuwa pesa ya kununua hiyo nyumba anayo,ila makaratasi ndio huamini kama anaweza kupewa ...........Nina amini unazo akili za kunijibu.
 
Lakini unaamini kuwa pesa ya kununua hiyo nyumba anayo,ila hati ndio huamini kama anaweza kupewa ...........Nina amini unazo akili za kunijibu.
Chamuhimu kuwa nacho ni hela au makaratasi ya hati.?
 
[emoji2] Look at this fool. Retarded individual!!

Tuzoo tuzooo Mara Nyumba ya ndomo kwendraaaa kafie getto

We unakaa Nyumba ya kupanga bongo huko unashabikia vya wengine tafuta vyako utakufa maskini kwa ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom