Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

Chamuhimu kuwa nacho ni hela au makaratasi ya hati.?
KakaJambazi acha kuwaza kijambazi muda wote,kwani na wewe unatatizwa na kipi ........Hana pesa ya kununua hapo,au kanunua ila kanyimwa/hataki hati ............ (jibu kwa kuelewa kabla ya kuuliza tena,ualimu si huwezi)
 
Mi nilidhani alitakiwa aonyeshe makaratasi zaidi. Make hata mi video ya hiyo hiyo nyumba naweza piga na nikaiweka humu.
 
Hapo anapokaa karibu na nilipozaliwa mitaa hyo mbele kdogo kona unakuta njia ya kwenda Mwenge ukishuka uko buguruni ukonga kwa mbele kidogo ya kibaha na tegeta yani huko ni ful bata security 24/7
 
Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Kwa kweli ni mshamba wa kutupa,wenzake kina prezo,jaguar hawanaga hizo mambo labda had wafanyiwe interview ila yeye aisee,elimu elimu elimu.
 
Uko siriazi sana na mambo ya mitandaoni,cheki unavyotokwa na maneno makali.

Maneno makali how??

Au ukweli unauma?? Mnaboa ndo maana mapunga yanaongezeka huko dar

Mind your own biz, Mara Nyumba Mara tuzo mara ana billions kuna yote hayo ya nini??
 
Mi nilidhani alitakiwa aonyeshe makaratasi zaidi. Make hata mi video ya hiyo hiyo nyumba naweza piga na nikaiweka humu.
Na ndio maana nilikuambia acha kuwaza kijambazi,ona sasa,yaani inaonyesha hii ishu hujui chochote mwanzo wake hadi hapo lilipofikia........Wenye chuki nae walishachokonoa hayo yote na hivi sasa hawaangaiki na hati.
 
Zile tuzo za idara ya maji pale NYC bado hazijatua mkuu?
 
Maneno makali how??

Au ukweli unauma?? Mnaboa ndo maana mapunga yanaongezeka huko dar

Mind your own biz, Mara Nyumba Mara tuzo mara ana billions kuna yote hayo ya nini??
We akili yako ndogo sana, haina hata uwezo wa kupambanua mambo,sasa kama unaona hivo vitu vinakukera si ndio ukiviona vipotezee,au huwa unaitwa kukomenti...... Sisi wenzako humu JF ni sehemu ya kujiburudisha,kuelimika na kuongeza maarifa, vya KIJINGA tunaviacha humuhumu.
 
Akili yangu ndogo sawa hayo ni maoni yako, kupambanua mambo ya maisha ya watu ndo mnapenda tafuta kazi ufanye
 
Mkuu hujui unaongea nini
Najua ninachoongea bongo kila kitu ni kuover rate,mfano Wema aliwaonyesha nyumba ya millioni mia moja na nusu ambayo siyo yake na kuwadanganya ni ya milioni mia tano.kwanza nampongeza dangone kwa kununua south,unatumia bilioni kununua nyumba bongo alafu umeme wenyewe wa mgao.
 
Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.

Jamani wapi kaandika anajibishana nao? Siku ya kwanza kuingia katika nyumba yake hiyo ulitaka iweje haswa. Asiishi maisha yake au?
 
Akili yangu ndogo sawa hayo ni maoni yako, kupambanua mambo ya maisha ya watu ndo mnapenda tafuta kazi ufanye
Acha basi,mana unazidi kujifedhehesha,kama hujui maisha ya watu yana saidia kukupa nguvu ya kufanya mambo basi hata elimu yako sikuulizi. Hujui kuwa kuna watu wameandika vitabu na kutengeneza movie zinazohusu maisha ya watu na wanapiga pesa .......??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…