Dar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusu
Hahahahaaa kumbe hata wewe umeona.Uko siriazi sana na mambo ya mitandaoni,cheki unavyotokwa na maneno makali.
Wewe si mpenzi wa muziki au sio mfuatiliaji wa mambo ya muziki na wanamuziki wenyewe, maana ungekuwa wa hivo,husingeshangaa kwa DIAMOND. Sio kila fani unaweza kuijadili vingine muwe mnapiga kimya,anavyovifanya DIAMOND kwenye tasnia ya muziki kiujumla ni trela tu.Kwa kweli ni mshamba wa kutupa,wenzake kina prezo,jaguar hawanaga hizo mambo labda had wafanyiwe interview ila yeye aisee,elimu elimu elimu.
Achana na huyo...utachoka bure. Kilichomleta kwenye hii thread hakijuiAcha basi,mana unazidi kujifedhehesha,kama hujui maisha ya watu yana saidia kukupa nguvu ya kufanya mambo basi hata elimu yako sikuulizi. Hujui kuwa kuna watu wameandika vitabu na kutengeneza movie zinazohusu maisha ya watu na wanapiga pesa .......??
Nasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
Bila shaka kuna mtu kaiba ID yako,sio wewe .......?Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Acha basi,mana unazidi kujifedhehesha,kama hujui maisha ya watu yana saidia kukupa nguvu ya kufanya mambo basi hata elimu yako sikuulizi. Hujui kuwa kuna watu wameandika vitabu na kutengeneza movie zinazohusu maisha ya watu na wanapiga pesa .......??
[emoji2] Look at this fool. Retarded individual!
[emoji2] Look at this fool. Retarded individual!
Achana na huyo...utachoka bure. Kilichomleta kwenye hii thread hakijui
Watanzania wakipata kidogo shida sasa kwenye private jets na manyumba dunia nzima wametulia wanakula bata yeye busy kupost kinyumba cha kawaida kabisa. Dogo wewe sasa hivi superstar pungunza ulimbukeni.
Hivi wewe upo Yomboo ipi, ya Bagamoyo au ya Dar.......Mana sometimes akili ya mtu inategemea na anapoishi.Kijifedhesha unajifedhehesha wewe na huyo ndomo ndole
Watu wana Nyumba Paris , yeye anatuletea Nyumba ya kukodi tena Soweto Orlando west unajiita una pesa ma.Vi kabisa
[emoji23] Look at this big fool!Fool but not more than you... Unashabikia maisha ya mtu mwingine
unaona anachofanya ni sawa? diamond utoto umemjaa ila simlaumu yeye nawashangaa management yake wanashindwa kumcontrol kuhusu public affairs! anyway akumbuke watz ndo walimuweka juu na hao hao ndo watamshusha .aendelee kuenjoy insta!Bila shaka kuna mtu kaiba ID yako,sio wewe .......?
mimi ni shabiki wa diamond sana anavoishi kwenye mitandao anatakiwa apate control toka kwa management yake .ukimkosoa diamond humu kuna vitoto vinajiona vinamjua sana diamond wakati wamemfahamu kwenye salome achana nao mkuuKijifedhesha unajifedhehesha wewe na huyo ndomo ndole
Watu wana Nyumba Paris , yeye anatuletea Nyumba ya kukodi tena Soweto Orlando west unajiita una pesa ma.Vi kabisa
[emoji41] as your dad??[emoji23] Look at this big fool!
dogo ni utoto unamsumbua tumsamehe ila sielewi wati wazima kina salam wanammanage nini huyu dogo mpaka wanamuacha anajiharibia hivinilianza kumkubali dogo Ila daah...nimegundua ana husda sanaaa!!!
Kwani na wewe ni mmoja wao kati ya waliomuweka juu .........??unaona anachofanya ni sawa? diamond utoto umemjaa ila simlaumu yeye nawashangaa management yake wanashindwa kumcontrol kuhusu public affairs! anyway akumbuke watz ndo walimuweka juu na hao hao ndo watamshusha .aendelee kuenjoy insta!