Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuweka vi emoji vya kucheka cheka kama chizi.Chawa wa Domokayaa mbna haha kweli, mtu enyewe kasha jichokeaa mdaa, mxxxxieeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na mie kimya kimya, fungukaaa babaa au unaogopaaa ntakupa cha mbavuuuu. UwiiiiiiiihUmesahau kuweka vi emoji vya kucheka cheka kama chizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na mie kimya kimya, fungukaaa babaa au unaogopaaa ntakupa cha mbavuuuu. Uwiiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ushambinulia tko mumeo au bado!?View attachment 2463387
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.
Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.
Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300.
Hajawai tokea binadamu yeyote hapa Tanzania akalipwa pesa nyingi namna hiyo kwa usiku mmoja.
Diamond ni living legend msanii wa kihistoria GOAT. Ipo siku ataingizwa kwenye mitaala ya shule zetu wajifunze kuhusu huyu kiumbe wa ajabu.
Mwaka nmeanza na vitu laini laini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na mie kimya kimya, fungukaaa babaa au unaogopaaa ntakupa cha mbavuuuu. Uwiiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, nimetoka kumpiga mashine mamako mzazi.Vp ushambinulia tko mumeo au bado!?
Vipi umepata kichefu chefu cha mimba au bado!?Hapana, nimetoka kumpiga mashine mamako mzazi.
Karibuuu sanaaaa, ukifikaaa nistueee puliiiiizzzDada achana na hayo mambo yao. Mi nakuja Dar hii January. Nataka nikualike pale Coco Beach tule mihogo na mishkaki ili tupige story zetu. Au unaonaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimechekaaa sanaaaa.Mwaka nmeanza na vitu laini laini
Naona mwaka huu Acha ninywe vitu laini laini tu
Pesa yangu niende nalipa,alafu naambiwa piga kelele,nyoosha mkono
Juu piga kelele ...ahhhh
Pesa yangu starehe nataka nipate direct
Ova
View attachment 2466794
Kigagula umeskia mihogo ya coco ushalowa 😂😂
Heri yangu mie kigagulaa naitiwa mihogo ya Coco, sasa wee pampulaa hata miguu ya kuku kwa mama kibongee huitiwiii.Kigagula umeskia mihogo ya coco ushalowa [emoji23][emoji23]
Safiìi na hongera zake. ALIPE KODI TU NA KUACHA KULIA LIA LIAView attachment 2463387
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.
Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.
Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300.
Hajawai tokea binadamu yeyote hapa Tanzania akalipwa pesa nyingi namna hiyo kwa usiku mmoja.
Diamond ni living legend msanii wa kihistoria GOAT. Ipo siku ataingizwa kwenye mitaala ya shule zetu wajifunze kuhusu huyu kiumbe wa ajabu.
Kama utakavyo kuwa chawa mpumbavu 2025.Mtu ukiwa chawa huwa akili inatoweka pia? Tarehe 31 November ipo kwenye kalenda gani? Hata kama ingekuwepo lakini tumeshaipita ila wewe chawa mpuuzi unaongelea mambo yajayo. Wewe ni chawa mpumbavu zaidi kwa mwaka 2022. Hongera sana.
Ficha ujinga wako.Kama utakavyo kuwa chawa mpumbavu 2025.
Mbona sifa nyingi sana, umempa zawadi gani? Au 0717...siku ataingizwa kwenye mitaala ya shule zetu wajifunze kuhusu huyu kiumbe wa ajabu
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?View attachment 2463387