Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

Ujinga kivipi na huyu ni mwana sanaa kama kina Shaban Robert nk ambao tulioenda shule tumewasoma.

Kweli akili za Machawa zipo Matatrakoni!!!Yaaani Shabani Robert kazi alizofanya mpaka tukamsoma unafananisha na huo upuuzi wa Almasi wakuimba inama nifukue mtaro?
 
Maumivu unayopitia kigagula ni makali sana huyo ndio Simba kama anapotea hivi alafu anakuja anasambaratisha uchafu wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nae pampulaaa una haha na huyo domokayaa wako wala hana jipyaa mjini. Kwa kifupi hastui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee nae pampulaaa una haha na huyo domokayaa wako wala hana jipyaa mjini. Kwa kifupi hastui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Show ya kesho, meza za mil 7.5 zimeisha majuzi...meza za mil 5 zimeisha jana.

Diamond Platnumz ndio jina la hii game ya entertainment hakuna mbadala.
 
Kwani natakiwa kulipwa kusema mtanzania mwenzangu amelipwa vizuri? Yani kuna watu mnapata maumivu kijana mwenzio akilipwa mil 300?
Umeulizwa kistaarabu unaleta ngonjera za wivu. Nani apate maumivu sasa.

We dogo una makamasi huko kichwani si bure.
 
Harufu ya utakatishaji pesa mchana jua kali kweupeee
 
Kweli akili za Machawa zipo Matatrakoni!!!Yaaani Shabani Robert kazi alizofanya mpaka tukamsoma unafananisha na huo upuuzi wa Almasi wakuimba inama nifukue mtaro?
Shaaban Robert ni mshairi tu kama washairi washairi wengine, he is so overrated.
 
Back
Top Bottom