Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na mie kimya kimya, fungukaaa babaa au unaogopaaa ntakupa cha mbavuuuu. Uwiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app

Dada achana na hayo mambo yao. Mi nakuja Dar hii January. Nataka nikualike pale Coco Beach tule mihogo na mishkaki ili tupige story zetu. Au unaonaje?
 
Ukiona mtanzania anataja hela anayolipwa ujue kashaweka cha juu mwenyewe ili mumuone wa juu....
 
Vp ushambinulia tko mumeo au bado!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na mie kimya kimya, fungukaaa babaa au unaogopaaa ntakupa cha mbavuuuu. Uwiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka nmeanza na vitu laini laini
Naona mwaka huu Acha ninywe vitu laini laini tu
Pesa yangu niende nalipa,alafu naambiwa piga kelele,nyoosha mkono
Juu piga kelele ...ahhhh
Pesa yangu starehe nataka nipate direct

Ova
 
Mwaka nmeanza na vitu laini laini
Naona mwaka huu Acha ninywe vitu laini laini tu
Pesa yangu niende nalipa,alafu naambiwa piga kelele,nyoosha mkono
Juu piga kelele ...ahhhh
Pesa yangu starehe nataka nipate direct

Ova
View attachment 2466794
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimechekaaa sanaaaa.
Kwenda kurushwwa rushwa na ulipie pia.
Piga ulabuuu Mr, maisha mafupi haya, we live at once.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigagula umeskia mihogo ya coco ushalowa [emoji23][emoji23]
Heri yangu mie kigagulaa naitiwa mihogo ya Coco, sasa wee pampulaa hata miguu ya kuku kwa mama kibongee huitiwiii.

Poleeeeeeeh umechundaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safiìi na hongera zake. ALIPE KODI TU NA KUACHA KULIA LIA LIA
 
Kwanini jamaa hua anateseka sana kulazimisha kuionyesha Jamii kuwa yeye ana hela? Anatilisha huruma kwa kweli.
 
Mtu ukiwa chawa huwa akili inatoweka pia? Tarehe 31 November ipo kwenye kalenda gani? Hata kama ingekuwepo lakini tumeshaipita ila wewe chawa mpuuzi unaongelea mambo yajayo. Wewe ni chawa mpumbavu zaidi kwa mwaka 2022. Hongera sana.
Kama utakavyo kuwa chawa mpumbavu 2025.
 
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…