Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
| Nov 7 2025 | 18,725,190 -6,174 | 1,872 +4 | 8,610 -3 | 0.46% +0.01 |
| Nov 6 2025 | 18,731,364 -34,738 | 1,868 | 8,613 +1 | 0.45% +0.03 |
| Nov 5 2025 | 18,766,102 -59,743 | 1,868 +1 | 8,612 -1 | 0.42% |
| Nov 4 2025 | 18,825,845 -19,679 | 1,867 +1 | 8,613 +1 | 0.42% +0.01 |
| Nov 3 2025 | 18,845,524 -7,746 | 1,866 +1 | 8,612 +3 | 0.41% |
| Nov 2 2025 | 18,853,270 -1,062 | 1,865 +3 | 8,609 | 0.41% -0.02 |
| Nov 1 2025 | 18,854,332 -436 | 1,862 +5 | 8,609 +2 | 0.43% |
| Oct 31 2025 | 18,854,768 -36 | 1,857 | 8,607 -3 | 0.43% -0.01 |
| Oct 30 2025 | 18,854,804 -417 | 1,857 | 8,610 -14 | 0.44% -0.02 |
| Oct 29 2025 | 18,855,221 -1,025 | 1,857 | 8,624 | 0.46% +0.01 |
| Oct 28 2025 | 18,856,246 -911 | 1,857 |
Safi mkuuDone
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajiita Msanii Kioo cha Jamii halafu yakitokea Majanga unakuwa upande wa Watesi, acha kimlambe na unafiki wake
Una unfollow halafu unaendelea kumfatilia😮😮Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka.
Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo.
Kaja na drama zake na kizuchu wake watu wamemlia buyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kubwa zaidi ndani ya siku 5 amepoteza followers zaidi ya laki mbili na wanazidi kupukutika tu hali ambayo imezidi kumtisha na hatimaye ameanza rasmi kununua followers feki wamjazie jazie idadi kukwepa aibu.
Sasa cha kufanya ni hivi, kama bado hujam unfollow hakikisha una unfollow kisha nenda karipoti akaunti zake haswa IG.
😂😂😂😂😂😂😂Atajuta ni lazima afe tu.
Hakuna mtu anaefanya kazi masaa 24.kum-unfollow mtu sio suala la kuchukua muda mrefu kiasi kuzuia kufanya mambo mengine.Kijana kweli una kazi ya kukuweka busy huo muda wa kufanya hivi unapata wapi
Hiki mnachokifanya ni kuingilia uhuru wa mtu na ni kinyume cha demokrasia utofauti wenu na serikali ya mama Samia ni upi Sasa?Hakuna mtu anaefanya kazi masaa 24.kum-unfollow mtu sio suala la kuchukua muda mrefu kiasi kuzuia kufanya mambo mengine.
Mimi wasanii wakibongo niliowa-follow kwa haraka haraka namkumbuka roma na sugu tu, lakini kama ningekua nimewa-follow hawa machawa na wote walioshiriki kumnadi huyu mama ningeshawa-unfollow muda mrefu tu
Nani Kwanza kamwambia Mimi ni CCM? au sehemu gani inaonesha Mimi ni CCM?Utajua wewe,Mimi ndio naandamana hivyo.
Yoyote ambaye yupo upande wa oppressor lazima a catch strays.
Hope ujumbe unaupata shog* wa kijani wew
😂😂Kwani hapo kabla alikua anamshawishi nani?