King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hakuna ambaye hajaathiriwa na MO29 uwe una biashara au hauna! Nawajua wafanyabiashara wengi tu wapo clean ,hawajihusishi na siasa na biashara zao zinaenda vizuri tu.Point yangu ni kwamba mnaweza kuwashambulia mnavyoweza ila Kuna wakati muangalie uhalisia hawa wasanii wanabiashara zao zinazotambulika na Taasisi za serikali hivi wakiwa against na serikali Nini kitatokea kwao? Nyinyi mnaweza mkaongea hivyo kwasababu hamna cha kupoteza vipi wao?
Ukiona mfanyabiashara anaogopa serikali basi jua huyo ni mkwepa KODi....Kama nafanya biashara nimefuata taratibu zote ,nalipia kodi zote kwanini niogope? Mbona Sugu walitaka kumletea FIGISU kwenye Hotel yake lakini walishindwa?