Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

Hiki mnachokifanya ni kuingilia uhuru wa mtu na ni kinyume cha demokrasia utofauti wenu na serikali ya mama Samia ni upi Sasa?
Kuingilia uhuru wa mtu ninkumfosi afanye unachotaka wewe au akubaliane na wewe, yaani mimi nitumie nguvu kumfosi diamond aseme vile vinavyotaka hapo ndipo nimeingilia uhutu wake, kama sitaki au sipendi anachokifanya suluhusho ni kumpotezea tu kama hivyo kum-unfollow
 
Mmewaandama sana Wasanii wakati kula yao pia inahitaji kuwa na mahusiano mazuri na serikali.
 
Mmewaandama sana Wasanii wakati kula yao pia inahitaji kuwa na mahusiano mazuri na serikali.
Hakuna aliewakataza kuwa na mahusiano mazuri na serikali, ambacho wananchi wamechafukwa nacho ni unafiki. Tumeona jinsi wanavyoibuka kutoa pole wakati waliofanya ukatili ndio hao hao waliowanadi na kwenda kutumbuiza kwenye mikutano yao ya kampeni.

Miaka michache kidogo nyuma diamond alikemea ukatili wa polisi uko Nigeria na kutoa rai kwa AU kuingilia kati, lakini safari hii suala hilo limefanyika nchini kwake kauchuna.

Dada ake diamond, quuen darling alienda mbali akasema yeye angekua Rais angepiga na kuvunja wote watakaoandamana, hopeful uko alipo moyo wake una furaha kubwa sana maana alichokitaka kimetimia
 
Yule Queen darling akili hana yuko hivyo ila hawa wasanii wengine mnawaonea hivi umeona cherry ( mdada mwanaharakati) anachopitia Sasa hivi baada ya kuwa against na serikali au alichopitia Polepole sio kila mtu anaweza kuwa mwanaharakati au jasiri hivi Leo diamond akiwa against na serikali vipi kuhusu biashara zake?wewe unaweza kwasababu unatumia Id fake vipi msanii anayejulikana? Wakati mnawashambulia wasanii hivi pia mnafikiria?
 
Diamond ni public figure, kwahiyo lazima atafakari mienendo yake na mahusiano yake dhidi ya jamii. Ingemsaidia zaidi kuwa neutral kwenye siasa. Sasa ajipambanue: yeye ni kioo cha jamii au kioo cha watawala wakandamizaji?

Hiki mnachokifanya ni kuingilia uhuru wa mtu na ni kinyume cha demokrasia utofauti wenu na serikali ya mama Samia ni upi Sasa?
 
Diamond ni public figure, kwahiyo lazima atafakari mienendo yake na mahusiano yake dhidi ya jamii. Ingemsaidia zaidi kuwa neutral kwenye siasa. Sasa ajipambanue: yeye ni kioo cha jamii au kioo cha watawala wakandamizaji?
Vipi kuhusu biashara zake zitakuwa kwenye Hali gani akisema awe against na serikali? Wewe unaweza kusema hivyo ni kwasababu Huna cha kupoteza tofauti na wasanii biashara zake zinajulikana na hata akisema azindue zingine atakutana na wakati mgumu.
 
Ngoma Ikivuma sana Hupasuka, Bwana mdogo alivyo Anza tu kutukana Mashabiki zake hapo hapo nikajua huyu anakaribia Mwishoni, Diamond atapata fall out mbaya sana watu Huchoka mziki na Sauti ya Wasanii awekeze kwenye biashara zake zaidi sio izi anazofanya Kwa Vimvuli vya brand yake
 
Hiki mnachokifanya ni kuingilia uhuru wa mtu na ni kinyume cha demokrasia utofauti wenu na serikali ya mama Samia ni upi Sasa?
Uhuru ni katika haki tu siyo uhuru wa kuunga mkono waovu ...daimond kachagua kuwa adui wa haki ni lazima apigwe vita .
 

Huyo kwenye shows zake inabidi watu wasiende ,akifanya show inabidi kina Maria Sarungi , Mange na Sativa Wapush watu wasiende kabisa na baadhi watakaoenda waende kwa ajili ya kumpiga mawe tu.

Wapuuzi kama hawa wakipigwa siku nyingine watatia akili ,wananachi ndiyo wanaowapa fedha na si kampeni za SISIEMU.
 
Hivi ukiambiwa ufanye kazi ni tusi?
 
Vipi kuhusu biashara zao? Sitakuwa salama wakiwa against na serikali? au ni vile sisi hatuna cha kupoteza ndio maana ndio maana tunawashambulia bila kuangalia uhalisia ulivyo
 
Tufanye vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wetu ambavyo siyo jinai.

Kususia Shows
Kutotumia bidhaa zenye endorsements nao
Kutosikiliza redio zao
Kutoview yuotube channel au songs zao
Kuachana na Ringtones/RBT zao
Clothing line zao tupa kule
Point yangu ni kwamba mnaweza kuwashambulia mnavyoweza ila Kuna wakati muangalie uhalisia hawa wasanii wanabiashara zao zinazotambulika na Taasisi za serikali hivi wakiwa against na serikali Nini kitatokea kwao? Nyinyi mnaweza mkaongea hivyo kwasababu hamna cha kupoteza vipi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…