Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

Hakuna ambaye hajaathiriwa na MO29 uwe una biashara au hauna! Nawajua wafanyabiashara wengi tu wapo clean ,hawajihusishi na siasa na biashara zao zinaenda vizuri tu.

Ukiona mfanyabiashara anaogopa serikali basi jua huyo ni mkwepa KODi....Kama nafanya biashara nimefuata taratibu zote ,nalipia kodi zote kwanini niogope? Mbona Sugu walitaka kumletea FIGISU kwenye Hotel yake lakini walishindwa?
 
Kumbuka Wasanii ni Public figure huwezi kuwafananisha na wafanyabiashara wengine ambao sio maarufu na ndio maana huwa wanalipwa kwenye shows za kampeni za chama, Kama wakisema wawe against na serikali mazingira yao yaufanyaji wa biashara itakuwa ni mgumu Mfano mzuri hans pope kilichomkuta kipindi kile cha magufuli unataka kaniambia alikuwa ni mkwepaji wa Kodi? Au ni vile bifu lake na Magufuli?
 

Kutoshiriki kwenye matamasha yao ndiyo kuwa against serikali mkuu? Kama una ratiba nyingine je? Mbona Roma kabla hajatekwa na bashite alikuwa hapigi shows za sisiemu na biashara zake zilikuwa zinaenda fresh?
 
Akafanye kazi aache Malalamiko kmmake
 
Kutoshiriki kwenye matamasha yao ndiyo kuwa against serikali mkuu? Kama una ratiba nyingine je? Mbona Roma kabla hajatekwa na bashite alikuwa hapigi shows za sisiemu na biashara zake zilikuwa zinaenda fresh?
Roma hafanyi biashara, Diamond ni msanii mwenye big ambitious za kufanikiwa kwenye biashara ndio maana umeona ana media na biashara zingine na still atafungua zingine kivyovyote lazima awe na mahusiano mazuri na serikali hivi we umeona wajinga MO na bakressa kuwa CCM japo ni wafanyabiashara wakubwa
 
Nani alikwambia Roma alikuwa hafanyi biashara Bongo? kwani Mpaka afungue station ya radio au auze mafuta ya kupikia ndiyo aonekane anafanya biashara? Mziki tu wenyewe ni biashara maana una contract ambazo aliingia! Mbona kuna wafanyabiashara wengi tu wakubwa wanamiliki hadi Semi Scania zaidi ya 100 na hawapo SISIEMU na hawajihusishi kabisa na siasa ,kule Mikocheni industrial area wale wote wapo SISIEMU?

MO ni mwanasiasa wa sisiemu na alishawahi kuwa Mbunge ,Bakhresa hajihusishi na siasa ingawa alishawahi kupata madhira alipo support CUF miaka ya mkapa na kupelekea bidhaa zake kuchomwa moto kwa kutokidhi vigezo vya TZ ingawa alikuja kushinda kesi na serikali ikamfidia lile Bohari pale Tazara ilipokuwa NMC(Ugawaji) ambayo sasa ndiyo makao makuu ya Azam.
 
Ndio maana wasanii wamechagua kuwa upande wa serikali ili walinde ugali wao ubaya hapo uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…