Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Na hii miyake ni hatari!Niache kutumia poison, CK , miyake RL, eti nipulizie chibu ya kibongo muvi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] iyo amuuzie bashite na le mtumboz
Hebu acha kupanic kama Bashite.
nimekuuliza swali kutokana na hiyo bidhaa ya mtu mwingine unayosema inafanana exactly na ya Diamond,
swali langu ni, Je kwa maelezo yako Diamond kacopy huu mzigo ndiyomaana unaufananish na huo wa ulaya??
We unawadharau wacongo wakati wanakuzidi kwa kila kitu
Punga we
Yap!!!!hahaha mkuu umenichekesha.
kumbe CHIBU inamaanisha CHIBUKU.
au akate jeans kubwa avaekamba tena huyu avae bukta
Maisha umeyakosea mwenyewe jamaa usimalize hasira zako kwa waliofanikiwa. Pambana na life yako.
Njoo nikuweke kinyumba ili uniheshimu. Kaa mbali na hizi level, ndio maana hatuna stress kama nyinyi.
ndiyo kupunguza mtikisikoau akate jeans kubwa avae
mr gentleman wapi zinapatikana? Kuna testers ili tujaribu kabla ya kununua?
Hajafanikiwa basi kafulia tayri , umepata relief kidogo?Kafanikiwa kwa lipi ??
Hizi habari za kusifia ubwege ubwege hapo uzombini huwa zinakera sana
Hapo ulipo dodorunt kununua ni shida sembuse hyo pafyum ya chibuBei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.