Mr Kipago
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 597
- 622
Naiyona kule lipstick za Kiss zilipoKimataifa watu tayari wanaenda na established brands hii biashara ngumu nadhani alitakiwa aende na bidhaa yenye mahitaji ya kila siku kwa jamii na bei rahisi kwa watu wote. Perfume sina uhakika
Elimu Elimu Elimu
Mh Lowassa aliona ombwe kubwa sana katikati ya vichwa vya watanzania
Nina mashaka na haya
-Hakuna market survey and research
-Needs and wants assesment
-Marketing test na consumerizatiom
-Standards grade and brand (Hapa kachemka yeye kiumaarufu anaitwa Diamond plutnumz perfume inaitwa chibu hapo ni ugali na mgonjwa haiwezi kufanya vizuri sokoni na ni ndoto )
-Varieties hapa pia kachemka( kila mtumiaji na preference zake sio wote wanahitaji kitu kimoja(uniformity) kwa wakati mmoja wanawake wanapenda harufu flani wanaume pia kila mteja na kada yake, vijana, watu wa umri wa kati, wafanyakazi wa maofisini n.k
Swali wateja wote watanukia harufu sawa??? )
-accessibility ([emoji38] kaziweka GSM Mall pole kaka Nasibu Watu wote wataenda Gsm Mall kuifuata perfume tu kazi kweli kweli)
-Price sio rafiki kwa watu wote(Japokuwa kuna wateja wa perfume za bei ghali kwa sababu wanaafford au for presitige)
I stand to be corrected