Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Yaani nyie wote mnao tokwa na povu inshu sio tu Chibu bali mmezoea perfume za 5000 matwezaje kutoa 105000 kununua Chibu tuacheni wenye hera zetu tumuunge Dogo mkono nyie zenu Roho Mbaya na Wivu
 
Duh, acha mashabiki zake tuendelee kutumia Kurusumu zetu, perfume ambazo unashauriwa usijipake kama kuna jua maana odor yake huwa inachenge mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiishindwa hiyo kuna exlusive hamorappa geneuine product
b9d77141884f93bc15e0e2856eea643c.jpg
 
nataman ningekua chupi univae
Pole kwa ugonjwa..... Utaponaga tu!!!!
Perfume inanukia kama banda la kuku..Yaani niache kununue ma perfume ya maana nininue mavi haya..kwanza chibu ndio nini?si bora angeiita tu domo pana perfume?mxxxx.akampulizie sepetu

Tehehehe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wabongo nuksi. Nilisemaga fanya fyongo ndio Utajua maneno ya Wabongo yalipohifadhiwa. Ila Mungu anawaona. Huu uzi unaelekea kuwa uzi pacha wa "kama una stress pita hapa"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee.
 
10c2f772fd768a7eda0cb4a1fa3931d3.jpg


Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.

Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .

Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.

Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.

Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?

Nawasilisha.
Nasubiri spray yake ya Tsh. Elf 5
 
Watu na mafuvu yao [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Pulizieni mtolewe khafara
bea76f16fc5906af7f9bcdf9bb62ef7c.jpg
 
Perfume ovyo kabisa... kuna jamaa angu kapuliza hapa nzi wamekuja kama wameitwa
 
Back
Top Bottom