cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Chibu anatutoa kimasomaso Kiba yeye akaombe record deal Wasafi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana kwenye ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, acha mashabiki zake tuendelee kutumia Kurusumu zetu, perfume ambazo unashauriwa usijipake kama kuna jua maana odor yake huwa inachenge mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ni bei kwa chupa. Mashabiki wake mpaka leo wananunua perfume kwa mpulizo. Kama mpulizo mmoja 500, ukitaka 4 unalipa 2000
Wewe hata ya mwanaume mwenzako ulipata ya kutangaza!?acha wivuAmeshafirisika huyo, hapo anatangaza biashara ya wanaume wenzake tu.
Pole kwa ugonjwa..... Utaponaga tu!!!!nataman ningekua chupi univae
Perfume inanukia kama banda la kuku..Yaani niache kununue ma perfume ya maana nininue mavi haya..kwanza chibu ndio nini?si bora angeiita tu domo pana perfume?mxxxx.akampulizie sepetu
Tehehehe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wabongo nuksi. Nilisemaga fanya fyongo ndio Utajua maneno ya Wabongo yalipohifadhiwa. Ila Mungu anawaona. Huu uzi unaelekea kuwa uzi pacha wa "kama una stress pita hapa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee.
Akili yako inaonesha dhahiri kwann waafrica hawaendeleiNiache kutumia poison, CK , miyake RL, eti nipulizie chibu ya kibongo muvi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] iyo amuuzie bashite na le mtumboz
Nasubiri spray yake ya Tsh. Elf 5![]()
Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.
Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .
Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.
Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.
Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?
Nawasilisha.
Iyo ni perfume au Ng’ondaNendeni Kaliakoo Nami Nina Pafyumu Yangu Ya Viwango Vya Dunia Ni Elfu Nne Tu Inaitwa Eddy Love
Labda wamemzidi kwa peteWe unawadharau wacongo wakati wanakuzidi kwa kila kitu
Punga we
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nasubiria alete chupi za kike nivae
Mtakufa na Kiroho cha chukiPerfume ovyo kabisa... kuna jamaa angu kapuliza hapa nzi wamekuja kama wameitwa