Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

10c2f772fd768a7eda0cb4a1fa3931d3.jpg

Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.

Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .

Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.

Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.

Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?

Nawasilisha.
Mchina sasa hivi atatoa copy mbili tofauti ya nusu bei na ya robo bei na ni ngumu kudhibiti
 
Dah ila kweli binadamu tunatofautiana, yaani usawa huu nitoe laki eti ninunue pafyumu? Hata buku gwala sitoi, mi babycare inanitosha. Wanaume wa Dar toeni laki mnukie vizuri
 
10c2f772fd768a7eda0cb4a1fa3931d3.jpg

Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.

Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .

Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.

Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.

Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?

Nawasilisha.
Nadhani itauzika kimataifa. Hapa ni too expensive. Inawezekana Dai hajaelewa hali halisi ya nchi. All the best to him.
 
Hapo ulipo dodorunt kununua ni shida sembuse hyo pafyum ya chibu

OvA

Ha ha haaaaaa, nafikiri unaandika hivyo ili kunilazimisha kutaka nikununulie, Pita hukoooooo nitawanunulia ninaowajali.
 
Nadhani itauzika kimataifa. Hapa ni too expensive. Inawezekana Dai hajaelewa hali halisi ya nchi. All the best to him.
Kimataifa watu tayari wanaenda na established brands hii biashara ngumu nadhani alitakiwa aende na bidhaa yenye mahitaji ya kila siku kwa jamii na bei rahisi kwa watu wote. Perfume sina uhakika
 
Ha ha haaaaaa, nafikiri unaandika hivyo ili kunilazimisha kutaka nikununulie, Pita hukoooooo nitawanunulia ninaowajali.
Hahahaha sawa swaiba dah nishakuzoeaaa yaani we mbishi sana

Ova
 
Hahahaha sawa swaiba dah nishakuzoeaaa yaani we mbishi sana

Ova

Mmmmh swaiba maana yake nini!?

Ha ha ha haaaaaa eti mbishi oyaaaaaaaaaaa, kupingana ndio ubishi uwiiiiii mbavu zangu mimi
 
Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
Wabongo sio watu Wangekuja kusema hazina ubora ndio maana bei ndogo
 
Back
Top Bottom