Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Mchina sasa hivi atatoa copy mbili tofauti ya nusu bei na ya robo bei na ni ngumu kudhibiti
Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.
Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .
Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.
Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.
Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?
Nawasilisha.
Nisharidhika nazo izi najua hiyo bongo movie product huwa sipotezi pesa kununua vitu kisa uzalendo! what for ? Nitupe pesa kisa kumsapoti mtu? NeverUmeshaijaribu? David off cool water haifiki level za Chibu. Jaribu utaleta majawabu.
Nadhani itauzika kimataifa. Hapa ni too expensive. Inawezekana Dai hajaelewa hali halisi ya nchi. All the best to him.
Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.
Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .
Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.
Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.
Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?
Nawasilisha.
Hapo ulipo dodorunt kununua ni shida sembuse hyo pafyum ya chibu
OvA
Kimataifa watu tayari wanaenda na established brands hii biashara ngumu nadhani alitakiwa aende na bidhaa yenye mahitaji ya kila siku kwa jamii na bei rahisi kwa watu wote. Perfume sina uhakikaNadhani itauzika kimataifa. Hapa ni too expensive. Inawezekana Dai hajaelewa hali halisi ya nchi. All the best to him.
utakuwa umeolewa na mzungu weye si bureTushakusikia......tunatumia Calvin clein, davidoff na zingine za ivo product za bongo nyingi zina ubora wa bongo movie! Samahani kama nimekukera
Basi kuanzia Leo na shoo zake ziwe kuanzia laki 2 tuone kama kuna mtu ataenda.Rahisi sana, itakuwa si perfume hiyo, labda ni eau de toilette.
Hahahaha sawa swaiba dah nishakuzoeaaa yaani we mbishi sanaHa ha haaaaaa, nafikiri unaandika hivyo ili kunilazimisha kutaka nikununulie, Pita hukoooooo nitawanunulia ninaowajali.
Ninunulie dodorunt swaibaHa ha haaaaaa, nafikiri unaandika hivyo ili kunilazimisha kutaka nikununulie, Pita hukoooooo nitawanunulia ninaowajali.
Hahahaha sawa swaiba dah nishakuzoeaaa yaani we mbishi sana
Ova
Ninunulie dodorunt swaiba
Ova
Wabongo sio watu Wangekuja kusema hazina ubora ndio maana bei ndogoHuyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
utakuwa umeolewa na mzungu weye si bure