Acha udini ww.. Mi mwenyewe muislam , swala ni ubunifu na sio uislam wala ukristo.Acha wivu we kijana, andaa na wewe yako basi kama utapata wa kununua. WAGALATIA MNA WIVU SANA mkiona mwislamu katoboa
Siyo kwa mtindo huu wa laki moja. Kuna line kubwa kama Dune, Chanel, KC na wengine huwa wanatoa kulingana na uwezo wa mtu wanaanzia hata dollar 10. Wewe unaanza na dollar 50 kwa nchi yetu ya bongo??? Haya yetu macho labda mapushers na ma Godfathers wataweza plus cocochanel siyo sisi makapuku family ingawa tunapenda kumsapoti kijana wetu.Safi vijana tukiwa wabunifu kwa nyanja mbalimbali tutafika
Hapana mkuu, binafsi Mimi nimefurahi sana na namsapoti Mond kwa anachokifanya, ila unaletaje udini kwenye ili? Ni uwezo Mdogo wa kufikilia mkuu.Kapiga penyewe nini mbona povu?
Wewe demu bila shaka,,,utanunuliwa tu na wanakuvua chupi
Umenichekesha mkuu. Ni kweli wale wa mb 70 kazi yao matusi tu mitandaoni, wataondoka kapa.Kutokana na Hiyo bei Nadhani Target ya Soko lake sio Mashabiki Wake wanaoishi Tandale au Manzese....
Unakosea kuingiza dini.Acha wivu we kijana, andaa na wewe yako basi kama utapata wa kununua. WAGALATIA MNA WIVU SANA mkiona mwislamu katoboa
JF ukitaka stori inoge weka UDINI (kachumbari).Unakosea kuingiza dini.
Sio kila bidhaa ni ya kila mtu. Tatizo ni Diamond au bei? Mbona watu tunanunua cologne za 150,000 hadi 200,000 bila shida? Tena sio moja. Wapo watakaonunua.
vipi mzee nilikuona ukiponda kuwa hatuleti habari za maana za celebrities siku hizi..hii sio ya maana?Safi nimeipenda hii tena angefanya hata laki 3 kabisa
Nasema hivi kwa sababu ingekuwa ya bei ya chini kila mtu angenunua matokeo yake watu mkitembea mnakuwa mnanukia harufu moja kila mtu kitu ambacho sikipendi
Bora allivyofanya hivyo,wale watanashati tunaojua kutupia tutanunua tu ila wale wazee wakuunga unga waendelee ni spray zao za buku 5 tano
Siyo kwa mtindo huu wa laki moja. Kuna line kubwa kama Dune, Chanel, KC na wengine huwa wanatoa kulingana na uwezo wa mtu wanaanzia hata dollar 10. Wewe unaanza na dollar 50 kwa nchi yetu ya bongo??? Haya yetu macho labda mapushers na ma Godfathers wataweza plus cocochanel siyo sisi makapuku family ingawa tunapenda kumsapoti kijana wetu.
Yaani cocochanel sijakuelewa. Unamaana gani? Makapuku siyo lazima wawe wa JF tupo mitaani tunauza karanga, ukwaju na wengine tunalea watoto wa watu majumbani. Kuwa kapuku ina maana wewe hujilinganishi na wale wanaosema leo nanunua BMW na ananunua kweli wakati wewe unasubiri injini kiuno ikushushe Afrikana kutafuta. Tupe pole wenzio na nyinyi ndo mnakula bata kwa Bashite na Pombe. Hongera sana ila mimi siwaonei wivu sababu labda ningeweza kama roho yangu ingekuwa hainishtaki huko nilikotokea enzi za fifties haya mageni kwetu. Enjoy sisi ni kata mbuga na kuuza mitaani tu haya karanga hatuna noma.Acha kutusanifu. Lazima unaweza
Tangu mjiite hivyo sikupenda, ila naona mpo vizuri. Naingia huko kuwasoma mara mojamoja pg mbili tatu, natoka. Spidi yenu kali ni lori au basi mmepanda?
Nitakuja kuwasalimu, nilifanya hivyo kabla. Labda na kikoba chenu etc mmeshaanzisha au mengine ati!?
Yaani cocochanel sijakuelewa. Unamaana gani? Makapuku siyo lazima wawe wa JF tupo mitaani tunauza karanga, ukwaju na wengine tunalea watoto wa watu majumbani. Kuwa kapuku ina maana wewe hujilinganishi na wale wanaosema leo nanunua BMW na ananunua kweli wakati wewe unasubiri injini kiuno ikushushe Afrikana kutafuta. Tupe pole wenzio na nyinyi ndo mnakula bata kwa Bashite na Pombe. Hongera sana ila mimi siwaonei wivu sababu labda ningeweza kama roho yangu ingekuwa hainishtaki huko nilikotokea enzi za fifties haya mageni kwetu. Enjoy sisi ni kata mbuga na kuuza mitaani tu haya karanga hatuna noma.
Nilikuwa naongelea neno kapuku siyo term ya humu ndani. Kiswahili kinatumika kila mahala hivyo nilipoongelea makapuku sikumaanisha forum ila mimi kama mimi na hao wenzangu wa mitaani.Mimi nilielewa walianza kujiita makapuku kwa sababu ya wao kutoshirikishwa au kukubalika na wengine ktk nyuzi mbalimbali walipochangia, kama watu kupita wengine hata kama wana point nzuri etc..waliwasema kuwa sababu wamekaa humu JF miaka zaidi yao waliojiunga then na hapo wengi walikuwa wanawasema wenzao na sie tuliokaa miaka mingiiiii tuliwasoma tu. Sifikiri kama ilikuwa ni kwasababu ya uwezo wa mtu kifedha, nimeshangaa umesema hayo..labda waulize wenzako nini hasa kilisababisha hiyo thread kuanzishwa. Kama nimekosea basi nilipitwa mahala.
Hao uliowaongelea siwafahamu.