Mimi nilielewa walianza kujiita makapuku kwa sababu ya wao kutoshirikishwa au kukubalika na wengine ktk nyuzi mbalimbali walipochangia, kama watu kupita wengine hata kama wana point nzuri etc..waliwasema kuwa sababu wamekaa humu JF miaka zaidi yao waliojiunga then na hapo wengi walikuwa wanawasema wenzao na sie tuliokaa miaka mingiiiii tuliwasoma tu. Sifikiri kama ilikuwa ni kwasababu ya uwezo wa mtu kifedha, nimeshangaa umesema hayo..labda waulize wenzako nini hasa kilisababisha hiyo thread kuanzishwa. Kama nimekosea basi nilipitwa mahala.
Hao uliowaongelea siwafahamu.