Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Jibu murua kabisaaaa...[emoji108] [emoji108]shosti wewe ni mnafiki hadi basi . ahaaaa jamani nimekuvulia nguo
Utajiskiaje siku upo mbele ya kadamnasi halafu unakuta watu kama 20 mnanukia harufu moja?bora useme maana ukisema unaonekana hater nani anunue pafyumu ya chibu 105,000? yaani haitakiwi izidi elf 20 hyo parfume . soko lake ni la raia wa kawaida watu wenye hela zao hawatanunua kamwe.kachemsha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiba mchimba chumvi tu yule labda akauze mafenesiKiba atatoa sabuni za kufulia na vibiriti ili kila mtz aweze nunua
Umemaliza.Hivi ile clothing line yake aliyoanzisha ya WCB inafanyaje sokoni?
Kama ile ameshindwa hivi kweli perfume nani atanunua kwa hiyo bei? Exposure yote aliyonayo pamoja na kwenda ulaya kila siku bado hajui apart from mziki nini kitampatia pesa matokeo yake yeye kila siku kujaribu jaribu tu mambo.. Mara App sijui ya kuuza mziki, huko hajafanikiwa karukia perfume..
Diamond una jina kubwa sana, clothing line sijui maperfume havijawahi kumtoa msanii yeyote mkubwa hata huko duniani. Tafuta biashara ambayo inagusa matumizi ya watu ya siku kwa siku.. Angalia biashara wanazofanya akina Mo na Bakhressa.. Ushauri tu ebu jaribu hata kutengeneza kinywaji chako, iwe Juice au Soda kama za Azam au Mo hapo utatoboa mara moja maana mashabiki wako wengi ni wanafunzi na watoto wa uswazi ambao hawana kipato kikubwa ukilinganisha na hizo bei unazoweka kwenye bidhaa zako.. Na hata biashara ya Juice mteja mmoja anaweza akawa anakunywa Juice yako angalau mara tatu kwa wiki lakini hizo Perfume na nguo anaweza purchase once in a lifetime.. Akina Pdidy na 50 Cent wao wanatajirikia kwenye liquor sasa wewe si mnywaji basi fanya hata Juice hizo au hata Non-Alcoholic drinks..
Demu wako Wema alikuja na biashara gani sijui lakini pamoja na mvuto wake kwa mashabiki wake alifeli, kuwa tofauti usifate mkumbo na usifanye biashara za sifa (kwamba perfume yangu inauzwa ghali).. Hujafikia level za kutengeneza prestigious products maana mashabiki wako ni watu wa hali ya chini..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kanishindatabia.shosti wewe ni mnafiki hadi basi . ahaaaa jamani nimekuvulia nguo
Mimi hiyo hata bure sichukui msiniulize kwa nini.!Usawa huu wa magu mbona kazi anayo
Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
Bora alivyofanya hivyo bila hivyo huoo mtaani kila mtu akipita mnanukia harufu mojaKusema kweli chibu na mkubali sana lkn perfume duu, hebu fikiria kidogo kupunguza. Ila sitoshangaa, zikifanya vizuri sokoni kwani kila mtu na mfuko wake, so usiseme watu hawana ela, sema mimi sina ela, Kuna watu watazinunua tu.
Mkuu kama mtu mtupiaji na unajijali hiyo laki na elfu tano ni ndogo sana labda uwe na pesa za kuunga ungaJapo na kaushabiki kwa mbaliiii nakaona ila umetoa bonge moja la point....unajua huyu jamaa angeamua ata kutengeneza ata madaftar tu ya wanafunzi akabandika picha yake angeuza sana coz almost kwa wasanii wa bongo domo anakubalika sana na watt wa kitaani kuanzia primary mpk secondary....siyo izo perfume tena za ghali kiasi icho 100k tsh hahahabaaaa nafwaaaaaaz
Ukisikiliza watu humu hutafanya chochote.Ila watu wa JF mnaongoza kwa kukatisha watu tamaa jamani khaaa!!!
Mshauri mtu kuliko kumponda,
Kama ww huwezi kununua wengine wanaweza na chenji hawadai.
Na ukizingatia mashabik wake ote tupo vizuri kiuchumi!Bei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.
Kweli kabisa ndugu.Ukisikiliza watu humu hutafanya chochote.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
True mkuu.. Unakuta mtu analalama kuhusu bei huko ni kutaka kulazimisha maisha amabayo si ya saizi yake..Kama huna hela akatafute vya saizi yake. KWa tunaojua pafyumu laki moja mbona ya kawaida sana. Mbona tunalipia pafyumu za watu wa nje hela hizo kwa nini tusisapoti vya kwetu. Anayeshangaa pafyumu ya laki ina maana hiyo si ya saizi yake. Awachie wenye saizi zaoπππha ha ha..namkumbuka mwalimu wangu wa marketing alitufundisha akasema unapoingia dukani ukasoma price tag au ukatajiwa bei ya bidhaa fulani ukajikuta moyoni unalalamika kuwa bei ni ghali ujue hapo si mahali pako,...ondoka katafute kile unachokimudu..naishi kwa hiyo kanuni hadi leo...