Diamond azungumzia kuhusu tatizo la Wema kutopata mtoto

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Akiongea na kipindi cha Ng'ari Ng'ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Kuhusu kile Wema alichokiandika kwenye Instagram hivi karibuni ambapo alieleza ukweli wa hali yake ya kutopata mtoto, Diamond alisema ujumbe huo ulimuumiza kama wengine walivyoumia.

Alisema alikuwa anafahamu jinsi watu wanavyomshambulia Wema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutopata mtoto na amemsifia kwa kuusema ukweli.

Hata hivyo aliwashauri watumiaji wa mtandao ya kijamii kuitumia vyema na sio kuitumia kuwatusi mastaa wao kwakuwa ni kweli maneno yao huwaumiza kama binadamu wengine.

Chanzo:
Bongo5.com
 
Be careful dude, uta mpoteza Zari wako bure ukianza kuji involve na maswala ya wema.. stay away from her... Nime kua niki mfatilia yule mwana dada Zari.. nime gundua ni moja kati ya wanawake wanao jiheshimu sana na ana fanya mambo kiakili... Kwaio ushauri wa bure tu kwa Chibu hata kwenye interviews maswali yanayo husiana na huyo wema wako... Bora uwe very strict na uyakatae kuya jibu... Nilipenda Gardner G. Alivyo mchana salama kwenye mkasi """nisinge penda kuongelea maswala ya lady jay dee hususani yaki mahusiano """"! Mwisho wa kunukuu
 
Yule zari si amezaa jaman maana watu wanavyopenda kulaani kuwa na wanawake ambao wamezaa ila zari kasingiziwa labda.
chezea pesa wewe
 
Yes.........hizi ndizo akili zetu na uwezo wetu,hapa tuchanganye na za mbayuwayu....wajameni tutabakia nyuma sana.Tupeane mawazo chanya ili tuweze kujikwamuwa tuachane na hizi mambo za jikoni.
 
Tatizo la wema anagongwa kistastaa, nenda kwa mgonga ntundo akugonge kinyundonyundo kama haujapata mtoto, tatizo unaogopa kuandikwa umegongwa na kapuku, shauri yako utakua mgumba hivyohivyo
 
Be careful dude, uta mpoteza Zari wako bure ukianza kuji involve na maswala ya wema.. stay away from her... Nime kua niki mfatilia yule mwana dada Zari.. nime gundua ni moja kati ya wanawake wanao jiheshimu sana na ana fanya mambo kiakili... Kwaio ushauri wa bure tu kwa Chibu hata kwenye interviews maswali yanayo husiana na huyo wema wako... Bora uwe very strict na uyakatae kuya jibu... Nilipenda Gardner G. Alivyo mchana salama kwenye mkasi """nisinge penda kuongelea maswala ya lady jay dee hususani yaki mahusiano """"! Mwisho wa kunukuu
Diamond ni wa Wema na Wema wa Diamond ngoja Zari awapatie mtoto wa kumlea.
 
Sio kweli, Wema hana tatizo lolote na kila mmoja anafahamu kwamba Diamond ni mgumba... tuache kufichiana maradhi, Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, PERIOD!
 
Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Kuhusu kile Wema alichokiandika kwenye Instagram hivi karibuni ambapo alieleza ukweli wa hali yake ya kutopata mtoto, Diamond alisema ujumbe huo ulimuumiza kama wengine walivyoumia.

Alisema alikuwa anafahamu jinsi watu wanavyomshambulia Wema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutopata mtoto na amemsifia kwa kuusema ukweli.

Hata hivyo aliwashauri watumiaji wa mtandao ya kijamii kuitumia vyema na sio kuitumia kuwatusi mastaa wao kwakuwa ni kweli maneno yao huwaumiza kama binadamu wengine.

Chanzo:
Bongo5.com

Ilikuwaje akatudanganya alimpa wema mimba mara mbili ikatoka? Ndo kujifanya kidume wakati garasa nfyuuu
 
Sio kweli, Wema hana tatizo lolote na kila mmoja anafahamu kwamba Diamond ni mgumba... tuache kufichiana maradhi, Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, PERIOD!

Sio kweli mkuu..Rehema Fabiani aliyekuwa miss Kiswahili alisema kwamba anajuta kutoa mimba ya chibu dangote hahahaha u know..
 
hahahaahaaa, you know, you're less informed dude, it's proved beyond reasonable doubt kwamba Diamond hawezi kupiga mimba mwanamke... ask Jokate but don' ask huyo Jokate mpaka sasa ana watoto wangapi kutoka kwa other guys... that'd be none of your concern!! Hata lile tumbo la Zari, kama haweki masponji kutuzuga basi itakua ni mzigo wa Katunzi ule... mpwa warumi anafahamu kila kitu! Kwahiyo nasisitiza with confidence, si kweli kwamba Wema hana uwezo wa kushika mimba... tatizo lipo kwa Diamond! Shituka wangu....
 
Bado siamini huyu ni chige au lah!!.

Mimi kinachonishangaza kwa nini alitudanganya kuwa aliwahi mpa mimba wema mara mbili ikatoka wakati sio ukweli? KWa nini anatumia nguvu nyingi kuthibitisha urijali wake wakati anajijua? Mbona akina kiba wana watoto ila hawajawahi kupiga kelele walivyowapa mimba mademu zao
 
Last edited by a moderator:
Mie nashangaa haya maneno yote mbona wapambe waliomsikiliza hawakuyavalia njuga?

Mmhhh
 
Back
Top Bottom