Diamond azungumzia kuhusu tatizo la Wema kutopata mtoto

Diamond azungumzia kuhusu tatizo la Wema kutopata mtoto

Si umeona juzi kati kaanza kujitamba kuwa mtoto anayesubiriwa kwa Zarinah atakuwa "mtoto wa taifa"...

Yaani jamaa hamnazo kabisa kichwani...

Asanteeeeee

Yaani anataka awamimbe tu basi ili aoate kiki mpya mjini

Hebu aoe kwanza halafu awaze mimba
 
mzurimie kama sio unafik una kusumbua na upambe wa kishamba... kipindi dai yupo na Wema basi ulichekelea alafu ulivyo unafuata mkumbo alivyoachana na Wema akaenda kwa Penny bado ukachekelea na kumsifu penny... akarudisha makazi Kwa Wema Dai akiwa kwenye shoo akisema nimpende nani wew na mdomo wako kama kasuku ndo wa kwanza kusema Wemaaaaaaaaaaa.....alivyohamia kwa Zari na wew ukahamisha makazi eti kisa una mpenda dai kwa iyo kila kitu anachofanya kipo sawa???? Eti party ya kumtambulisha Zari... heheheheeeee wew kama unafikiria kawatambulisha wangapi na kuwavalisha wangapi pete za uchumba tena za gharama mpaka ilo tukio la 1st may ulione la maana...
Na ulivyo mfuata mkumbo Dai akirudi kwa wema na wewe utarudi.....
Acha ushamba kuwa na misimamo mtoto wa kike acha kufuata mikumbo ya kijinga nyweeeeeeeee......
Mimi simchukii Daimond ila mambo yake siyapendi na mimi nina misimamo mtu akishatambulisha mchumba wake akija kubadilisha ndo basi tena sim suport kweny izo personal issue zake.....ila kimziki namkubal.....sawa bibie acha unafiki na badilika usiwe bendera fuata upepo.....
 
Last edited by a moderator:
hahahaahaaa, you know, you're less informed dude, it's proved beyond reasonable doubt kwamba Diamond hawezi kupiga mimba mwanamke... ask Jokate but don' ask huyo Jokate mpaka sasa ana watoto wangapi kutoka kwa other guys... that'd be none of your concern!! Hata lile tumbo la Zari, kama haweki masponji kutuzuga basi itakua ni mzigo wa Katunzi ule... mpwa warumi anafahamu kila kitu! Kwahiyo nasisitiza with confidence, si kweli kwamba Wema hana uwezo wa kushika mimba... tatizo lipo kwa Diamond! Shituka wangu....

nami nakuunga mkono my chige

tena kwa matarumbeta...

au leo wamesahau...
 
Be careful dude, uta mpoteza Zari wako bure ukianza kuji involve na maswala ya wema.. stay away from her... Nime kua niki mfatilia yule mwana dada Zari.. nime gundua ni moja kati ya wanawake wanao jiheshimu sana na ana fanya mambo kiakili... Kwaio ushauri wa bure tu kwa Chibu hata kwenye interviews maswali yanayo husiana na huyo wema wako... Bora uwe very strict na uyakatae kuya jibu... Nilipenda Gardner G. Alivyo mchana salama kwenye mkasi """nisinge penda kuongelea maswala ya lady jay dee hususani yaki mahusiano """"! Mwisho wa kunukuu

Zari na wema wote sawasawa, acha kujiziuka wewe
 
Sio kweli, Wema hana tatizo lolote na kila mmoja anafahamu kwamba Diamond ni mgumba... tuache kufichiana maradhi, Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, PERIOD!

Zari mimba aliyo nayo nani kampa?? Mkisha nijibu hapa tuta enda sawa
 
Bado siamini huyu ni chige au lah!!.

Mimi kinachonishangaza kwa nini alitudanganya kuwa aliwahi mpa mimba wema mara mbili ikatoka wakati sio ukweli? KWa nini anatumia nguvu nyingi kuthibitisha urijali wake wakati anajijua? Mbona akina kiba wana watoto ila hawajawahi kupiga kelele walivyowapa mimba mademu zao

urijali na kumpa mimba mwanamke ni vitu tofauti
 
Last edited by a moderator:
Zari mimba aliyo nayo nani kampa?? Mkisha nijibu hapa tuta enda sawa
Mbona nishasema mpwa? Kama huamini, msubiri mpwa wangu mwingine anaitwa warumi... huyu muda c mrefu atawaletea na DNA results kabisa kuthibitisha kwamba mzigo (kama kweli upo) ni wa mtu mwingine kabisa... narudia; Diamond hana uwezo huo! Na wala sio kweli kwamba Wema ndie mwenye tatizo... Jokate mwenyewe kazaa na mzungu marekani sema wanafanya siri wakati muda wote ambao aliishi na Diamond, mnh hata miscarriage haikutokea! Penny nae baada ya kuachana na Diamond tu, akashika ujauzito na mwanaume mwingine... sema ikawa bahati mbaya... hii nayo wakafanya siri na inasemekana Diamond alihonga mkwanja mrefu ili Penny asitangaze kwamba baada ya kutoka kwa Diamond tu, akashika ujauzito manake angetangaza kila mtu angejuwa kwamba kweli udongo wa jamaa hauna mbolea!!!
 
we chibu nae zengwe we si ulisema alitoa mimba zako mbili sasa imekuaje tena hapa
 
Bora mtu akose mali kuliko akakosa akili kama wew pu*nguani....eti naumia roho nyoooooo muone vile kwamba wewe ni mke mdogo wake au? Maana kinakukuuuuuunaaaa na akati ata hakujuii.... acha kufata mikumbo ya ajabu ajabu kwenye ukweli lazma aambiwe ili aepukike na ujinga ulio nao wew.
UTAKUFA UKIWA UNAIGA SWAGA MJINI WEWE USIFANYE KAZI KAA UKIMTETEA DAIMOND HUKU......heheheiyaaaaaaa na bado hayo ni manyunyu kama vipi kaogelee kwenye acid

Nitamtetea pale nitakapoona hakuna hoja katika kumpondea.
 
mzurimie kama sio unafik una kusumbua na upambe wa kishamba... kipindi dai yupo na Wema basi ulichekelea alafu ulivyo unafuata mkumbo alivyoachana na Wema akaenda kwa Penny bado ukachekelea na kumsifu penny... akarudisha makazi Kwa Wema Dai akiwa kwenye shoo akisema nimpende nani wew na mdomo wako kama kasuku ndo wa kwanza kusema Wemaaaaaaaaaaa.....alivyohamia kwa Zari na wew ukahamisha makazi eti kisa una mpenda dai kwa iyo kila kitu anachofanya kipo sawa???? Eti party ya kumtambulisha Zari... heheheheeeee wew kama unafikiria kawatambulisha wangapi na kuwavalisha wangapi pete za uchumba tena za gharama mpaka ilo tukio la 1st may ulione la maana...
Na ulivyo mfuata mkumbo Dai akirudi kwa wema na wewe utarudi.....
Acha ushamba kuwa na misimamo mtoto wa kike acha kufuata mikumbo ya kijinga nyweeeeeeeee......
Mimi simchukii Daimond ila mambo yake siyapendi na mimi nina misimamo mtu akishatambulisha mchumba wake akija kubadilisha ndo basi tena sim suport kweny izo personal issue zake.....ila kimziki namkubal.....sawa bibie acha unafiki na badilika usiwe bendera fuata upepo.....

Mie sikuwa namfatilia na mambo yake wakati anatoka na hao watanzania...zaidi ya nyimbo zake.

Bali alipoanza kutoka na Zari sababu Zari mie fan wake kabla wewe na wengi hamjamjua mwaka jana ndio D akaaingia anga zangu kizaidi.

So nikiona mtu kama wewe unamponda bila sababu lazima niseme kitu. Ukiwa na sababu oyaaaaaa

Unapotaka kuniponda bora usitumie kusema niko hivi au vile sababu haunijui bali unarizisha roho yako kuandika ----- wakati mie nacheka.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la wema anagongwa kistastaa, nenda kwa mgonga ntundo akugonge kinyundonyundo kama haujapata mtoto, tatizo unaogopa kuandikwa umegongwa na kapuku, shauri yako utakua mgumba hivyohivyo

bado nakutafakari
 
hahahaahaaa, you know, you're less informed dude, it's proved beyond reasonable doubt kwamba Diamond hawezi kupiga mimba mwanamke... ask Jokate but don' ask huyo Jokate mpaka sasa ana watoto wangapi kutoka kwa other guys... that'd be none of your concern!! Hata lile tumbo la Zari, kama haweki masponji kutuzuga basi itakua ni mzigo wa Katunzi ule... mpwa warumi anafahamu kila kitu! Kwahiyo nasisitiza with confidence, si kweli kwamba Wema hana uwezo wa kushika mimba... tatizo lipo kwa Diamond! Shituka wangu....

We umejuaje acha uongo unajifanya unamjua sana dimond we vp afu watu wengine bhana eti zari ile ni masponchi anaweka c mimba wabongo cjui tukoje cc.. umefanya reserch yyt kwa hili acha izo ww una ukweli wowote uli unatudanganya tuuu...
 
I have nothing to say zaidi ya POLE SANA!
 
Back
Top Bottom