Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ha ha ha chezea wabongo eti ile sio mimba ha ha ha basi sawa zari kashiba tungoje baada ya miezi 9 atakunya mkungu wa ndiziWe umejuaje acha uongo unajifanya unamjua sana dimond we vp afu watu wengine bhana eti zari ile ni masponchi anaweka c mimba wabongo cjui tukoje cc.. umefanya reserch yyt kwa hili acha izo ww una ukweli wowote uli unatudanganya tuuu...