Na Songea pia alipiga.
Nakuelewa unachotaka kusema mkuu, but haijalishi sana ni nani anayempangia show au afanye nini wapi bw. Diamond.
Kama umenielewa uzuri maana yangu ilikuwa kwamba bw mdogo sasa kibongofleva amekua sana na show za hom hasa Fiesta zimekuwa si saizi yake!
Nieleweke hapa, simaanishi Diamond yuko kwenye mashindano na Clouds kama unavyotaka kufikiri kuwa mimi nilimaanisha hivyo HAPANA!
Kwa yeyote anayemmanage dogo iwe Babu Tale, Fella au hata jamaa wa Mawingu kama unavyotuaminisha, basi watakuwa na akili nyingi! Haiwezekani Diamond akawa na mialiko mingi Ulaya na Marekani kisha wewe kama director wake ung'ang'anie kumpigisha show za Mtwara!! Wakati kuna wasanii kibao tu hapa ambao wangekidhi kuliko kutaka kwenda sokoni kununua kitunguu kwa kutumia lori aina ya Fuso!!
Viwango vya Dogo kwa sasa ni show za hela ndefu anbazo ana uwezo wa kuzipata.
Niwapongeze mameneja zake bila kujali ni Ruge au Tale kwa kumwezesha kijana kukamua kokote Duniani ikiwa ni pamoja na juhudi zake binafsi.
Kiip it ap Domo!!
Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa kumtumia vilivyo mwaka huu kwenye show zao!
Ieleweke kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda jukwaani kuonana na mashabiki.
Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa. Pamoja na upizani mkubwa mno naoupata kijana ameendelea kukomaa na kujenga heshima hata kwa wale ambao bado walikuwa wabishi kumkubali Diamond.
Tunachoweza kusema kwa sasa ni kumtakia mafanikio mema na aendelee kufanya haya mapinduzi makubwa kabisa kimuziki wa Tanzania. Keep it up Diamond.
- Well, unayoyasema sasa sio uliyoanza nayo Clouds haihusiki na hijawahi kuhusika na Wasanii kwenye Fiesta ni ishu ya Serengeti, Clouds kama Clouds wakimtaka DIAMOND haiwezi na wala haijawahi kuwa ishu ya Dogo kuwa na viwango vikubwa haina uhusiano wowote na hii topic, kama unawajua vizuri Clouds then unatakiwa kujua kwamba huwa hawana mbio sana na walio juu sana huwa wana mbio sana na walio chini ili kuinua vipaji vipya ndio maana unakumbuka kuna siku Mkurugenzi wao alifukuza Crew nzima ya Power Breakfast akaanza upya,
- Please kuna topic mnaanzisha humu ambazo zinaweza kuwavuruga watu bila sababu, ukweli ni kwamba Clouds haihusiki na wala haijawahi kuhusika na kupnadisha Wasanii majukwaani kwenye Fiesta, please understand that!!
Le Mutuz
- Mkuu hesbu yasome tena maneno yako mwenyewe na unayoyasema sasa kama yanafanana?
Le Mutuz
- Mkuu hesbu yasome tena maneno yako mwenyewe na unayoyasema sasa kama yanafanana?
Le Mutuz
Mkuu mimi hapa umenipa elimu sikuwa najuwa lolote kuhusu Fiesta. JF inahitaji viwango vya aina hii based in fact.
Atakayebishana na wewe kwa ufafanuzi huu basi apimwe akili kwanza.
Nikisema jamaa wameshindwa kumtumia Diamond kwa sababu ni msanii mkubwa na ana gharama siwi mbali na ukweli mkuu!
Inafahamika na kila mtu kwamba Kusaga na crew nzima kiofisi wana fedha ya kutosha tu.
Ila mimi naamini wao bado ni wafanyabiashara! Narudia tena, unawezaje kutumbuiza katika mji ambao kwa idadi ya wakazi au washabiki hata ungempeleka Ben Paul mapato yangekuwa laki moja kwa mfano' na gharama za Ben na Dai ni tofauti, za Dai lazima zitakuwa juu tu.
Kibiashara unaweza kumpeleka Mwanamuziki ghali sehemu ambayo itakulipa kulingana na gharama ulizotumia wewe kama mwandaaji!
Na ndio maana msaanii kutoka Ulaya wakimleta atatumbuiza Dar tu, au ikibidi na Mwanza tu, naona tatizo hapa ni kutokubali tu kuwa Dogo ameongezeka kiwango sana mkuu.
Narudia kibiashara hata wewe usingeweza kupuuza show ya Uk ukanga'ang'ania kutumbuiza Mbeya!!
Hakieleweki nini hapa mkuu??.
Msemaji wa clouds ..Le Mutuz...
Mnataka nini tena ?
duh! We mzaramo tu!
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!
- Ungefanya utafiiti kwanza nani ni the real manager wa Diamond anayempangia hizo safari na show zake zote, usingesema haya mkuu kama hujui si unauliza kwanza kwa wanaojua wakusaidie kuliko kuzusha uzushi uso na kichwa wala miguu!!
- For sure you have absolutely no clue na kinachoendelea na division of labor ya hizi fiesta sio kazi ya Clouds kuwapandisha Wasanii majukwaani kwenye Fiesta Tour ni kazi ya Serengeti jamana si muulize kwanza kabla hamajapayuka payuka na uzushi wa klijinga kama huu
Le Mutuz
Kwahiyo timu za basketball za kibongo zinaweza kumlipa Hashim thabit kwasababu alitokea bongo.
Poor argument
- Unachosahau ni mara nyingi huwa nakutetea hata wewe especially ile scandal yako moja ya chini kwa chini a ya yule mbunge wa vitimaalum wa CCM hahahahahaha, I hope huwa siwi msemaji wako mkuu sana vipi UKAWA mnaendeleaje mkuu sana!!
Le Mutuz
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!
hii ni disrespect kwa Diamond. unataka kusema kipaji wamempa wao!? huu ni upuuzi na ukosefu wa nidhamu kwa mtu anayetumia nguvu na akili yake kufanya kazi nzuri. hao unaowasema ndio wanamtungia nyimbo au kuproduce nyimbo zake?