Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Nakuelewa unachotaka kusema mkuu, but haijalishi sana ni nani anayempangia show au afanye nini wapi bw. Diamond.

Kama umenielewa uzuri maana yangu ilikuwa kwamba bw mdogo sasa kibongofleva amekua sana na show za hom hasa Fiesta zimekuwa si saizi yake!
Nieleweke hapa, simaanishi Diamond yuko kwenye mashindano na Clouds kama unavyotaka kufikiri kuwa mimi nilimaanisha hivyo HAPANA!

Kwa yeyote anayemmanage dogo iwe Babu Tale, Fella au hata jamaa wa Mawingu kama unavyotuaminisha, basi watakuwa na akili nyingi! Haiwezekani Diamond akawa na mialiko mingi Ulaya na Marekani kisha wewe kama director wake ung'ang'anie kumpigisha show za Mtwara!! Wakati kuna wasanii kibao tu hapa ambao wangekidhi kuliko kutaka kwenda sokoni kununua kitunguu kwa kutumia lori aina ya Fuso!!

Viwango vya Dogo kwa sasa ni show za hela ndefu anbazo ana uwezo wa kuzipata.
Niwapongeze mameneja zake bila kujali ni Ruge au Tale kwa kumwezesha kijana kukamua kokote Duniani ikiwa ni pamoja na juhudi zake binafsi.
Kiip it ap Domo!!

- Well, unayoyasema sasa sio uliyoanza nayo Clouds haihusiki na hijawahi kuhusika na Wasanii kwenye Fiesta ni ishu ya Serengeti, Clouds kama Clouds wakimtaka DIAMOND haiwezi na wala haijawahi kuwa ishu ya Dogo kuwa na viwango vikubwa haina uhusiano wowote na hii topic, kama unawajua vizuri Clouds then unatakiwa kujua kwamba huwa hawana mbio sana na walio juu sana huwa wana mbio sana na walio chini ili kuinua vipaji vipya ndio maana unakumbuka kuna siku Mkurugenzi wao alifukuza Crew nzima ya Power Breakfast akaanza upya,

- Please kuna topic mnaanzisha humu ambazo zinaweza kuwavuruga watu bila sababu, ukweli ni kwamba Clouds haihusiki na wala haijawahi kuhusika na kupnadisha Wasanii majukwaani kwenye Fiesta, please understand that!!

Le Mutuz
 
Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa kumtumia vilivyo mwaka huu kwenye show zao!

Ieleweke kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda jukwaani kuonana na mashabiki.

Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa. Pamoja na upizani mkubwa mno naoupata kijana ameendelea kukomaa na kujenga heshima hata kwa wale ambao bado walikuwa wabishi kumkubali Diamond.
Tunachoweza kusema kwa sasa ni kumtakia mafanikio mema na aendelee kufanya haya mapinduzi makubwa kabisa kimuziki wa Tanzania. Keep it up Diamond.

- Mkuu hesbu yasome tena maneno yako mwenyewe na unayoyasema sasa kama yanafanana?

Le Mutuz
 
- Well, unayoyasema sasa sio uliyoanza nayo Clouds haihusiki na hijawahi kuhusika na Wasanii kwenye Fiesta ni ishu ya Serengeti, Clouds kama Clouds wakimtaka DIAMOND haiwezi na wala haijawahi kuwa ishu ya Dogo kuwa na viwango vikubwa haina uhusiano wowote na hii topic, kama unawajua vizuri Clouds then unatakiwa kujua kwamba huwa hawana mbio sana na walio juu sana huwa wana mbio sana na walio chini ili kuinua vipaji vipya ndio maana unakumbuka kuna siku Mkurugenzi wao alifukuza Crew nzima ya Power Breakfast akaanza upya,

- Please kuna topic mnaanzisha humu ambazo zinaweza kuwavuruga watu bila sababu, ukweli ni kwamba Clouds haihusiki na wala haijawahi kuhusika na kupnadisha Wasanii majukwaani kwenye Fiesta, please understand that!!

Le Mutuz

Mkuu mimi hapa umenipa elimu sikuwa najuwa lolote kuhusu Fiesta. JF inahitaji viwango vya aina hii based in fact.

Atakayebishana na wewe kwa ufafanuzi huu basi apimwe akili kwanza.
 
- Mkuu hesbu yasome tena maneno yako mwenyewe na unayoyasema sasa kama yanafanana?

Le Mutuz

Nikisema jamaa wameshindwa kumtumia Diamond kwa sababu ni msanii mkubwa na ana gharama siwi mbali na ukweli mkuu!
Inafahamika na kila mtu kwamba Kusaga na crew nzima kiofisi wana fedha ya kutosha tu.
Ila mimi naamini wao bado ni wafanyabiashara! Narudia tena, unawezaje kutumbuiza katika mji ambao kwa idadi ya wakazi au washabiki hata ungempeleka Ben Paul mapato yangekuwa laki moja kwa mfano' na gharama za Ben na Dai ni tofauti, za Dai lazima zitakuwa juu tu.
Kibiashara unaweza kumpeleka Mwanamuziki ghali sehemu ambayo itakulipa kulingana na gharama ulizotumia wewe kama mwandaaji!

Na ndio maana msaanii kutoka Ulaya wakimleta atatumbuiza Dar tu, au ikibidi na Mwanza tu, naona tatizo hapa ni kutokubali tu kuwa Dogo ameongezeka kiwango sana mkuu.

Narudia kibiashara hata wewe usingeweza kupuuza show ya Uk ukanga'ang'ania kutumbuiza Mbeya!!
Hakieleweki nini hapa mkuu??.
 
Mkuu mimi hapa umenipa elimu sikuwa najuwa lolote kuhusu Fiesta. JF inahitaji viwango vya aina hii based in fact.

Atakayebishana na wewe kwa ufafanuzi huu basi apimwe akili kwanza.

- Kaka kuna wakati kuna ishu huwa unanielewa na this I hope is one of them, hawa watu wanapotosha sana kila mahali kuna siku nilitaka kumleta Jose Chameleone nikiwa naongea naye akawa anatingisha sana kibiriti nikapata akili ya kwenda kwa mkulu mmoja wa clouds akampigia simu pale pale Jose hakubisha wala kusema neno zaidi ya nakuja when you want me, leo uniambie eti hawana uwezo wa kumpandisha Diamond kwenye Fiesta are you kidding me, swali moja tu on this topic kwa mleta mada nani meneja wa wa kweli wa Diamond? Kama kweli anajua anachokisema ajibu?

Le Mutuz
 
Nikisema jamaa wameshindwa kumtumia Diamond kwa sababu ni msanii mkubwa na ana gharama siwi mbali na ukweli mkuu!
Inafahamika na kila mtu kwamba Kusaga na crew nzima kiofisi wana fedha ya kutosha tu.
Ila mimi naamini wao bado ni wafanyabiashara! Narudia tena, unawezaje kutumbuiza katika mji ambao kwa idadi ya wakazi au washabiki hata ungempeleka Ben Paul mapato yangekuwa laki moja kwa mfano' na gharama za Ben na Dai ni tofauti, za Dai lazima zitakuwa juu tu.
Kibiashara unaweza kumpeleka Mwanamuziki ghali sehemu ambayo itakulipa kulingana na gharama ulizotumia wewe kama mwandaaji!

Na ndio maana msaanii kutoka Ulaya wakimleta atatumbuiza Dar tu, au ikibidi na Mwanza tu, naona tatizo hapa ni kutokubali tu kuwa Dogo ameongezeka kiwango sana mkuu.

Narudia kibiashara hata wewe usingeweza kupuuza show ya Uk ukanga'ang'ania kutumbuiza Mbeya!!
Hakieleweki nini hapa mkuu??.

- No way lini uliwahi kusikia Clouds wameajiri Super Star kwenye system yao? Huwa wanaajiri and then ndio wanatengeneza wao wenyewe vipaji, with Clouds it does not matter nani yupo Jukwaani nani hayupo wakitaka anything on entertainment they just do it na wao wana uzoefu mkubwa sana so,

- Clouds waliona umuhimu wa Ddiamond kuwa Mwanza siku ya ufunguzi wa Fiesta he was there uliza alivunja safari ngapi kuja pale, kiwango cha Diamond hakina mfano Tanzania lakini hajawa bigger than Clouds kama unavyotaka kusema na wala sio ishu between them kwa sababu hata wewe hujui nani ni meneja wa Diamond,

- Wewe unajaribu kuchanganya ishus baada ya kukubana, kiwango cha Diamond hakina anything na kutopiga kwake kwenye Fiesta, Clouds can always do wonders bila big Stars na ndio utamaduni wao unless huwaelewi vizuri, kaka nakuelewa sana nia na madhumuni yako ya hii thread kubali umekosea ukachanganya maneno, nasema kiwango cha Diamond hakina anything to do na kutokuwepo kwake kwenye show nyingi za Fiesta,

- Serengeti wanauza jina na vinywajikwenye hizi show tena kwa records, bila diamond which is lengo lao nani apige nani asipige mwisho wa Fiesta bado ni uamuzi wa Serengeti kwa kuapata usahuri wa Clouds utaona kama diamond hakuwepo siku ya mwisho hapa Dar why ndio uamuzi sahihi wa biashara ya entertainment kaka,

Le Mutuz
 
Msemaji wa clouds ..Le Mutuz...

Mnataka nini tena ?

- Unachosahau ni mara nyingi huwa nakutetea hata wewe especially ile scandal yako moja ya chini kwa chini a ya yule mbunge wa vitimaalum wa CCM hahahahahaha, I hope huwa siwi msemaji wako mkuu sana vipi UKAWA mnaendeleaje mkuu sana!!

Le Mutuz
 
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!

Kwahiyo timu za basketball za kibongo zinaweza kumlipa Hashim thabit kwasababu alitokea bongo.
Poor argument
 
- Ungefanya utafiiti kwanza nani ni the real manager wa Diamond anayempangia hizo safari na show zake zote, usingesema haya mkuu kama hujui si unauliza kwanza kwa wanaojua wakusaidie kuliko kuzusha uzushi uso na kichwa wala miguu!!

- For sure you have absolutely no clue na kinachoendelea na division of labor ya hizi fiesta sio kazi ya Clouds kuwapandisha Wasanii majukwaani kwenye Fiesta Tour ni kazi ya Serengeti jamana si muulize kwanza kabla hamajapayuka payuka na uzushi wa klijinga kama huu

Le Mutuz

Asante kwa taarifa mwenyewe nilikua najua hivo leo nimefahamu
 
Kwahiyo timu za basketball za kibongo zinaweza kumlipa Hashim thabit kwasababu alitokea bongo.
Poor argument

Usikurupuke nitajie timu ya basketball ya Bongo ambayo ilimuweka Hashimu Thabeet pale alipo ushawahi kupitia profile yake ukaona career yake inasema ilishika kasi kuanzia wapi,kucheza NBA mpwa kuna stage lazima wazione sio ulicheza SAVIO ukadhani utadunda kwenye ile ligi uliza Mpemba aliishia wapi na kipaji chake au wapi aliishia Kisoky,narudia Diamond kwa Clouds hapindui hata wamtake leo yule Talle ni kivuli tu wenye kum-manage wanajulikana nashukuru hapo juu wamekueleza vizuri amini nakuambia wale wehu wanaweza kivunja ratiba za Diamond kirahisi kama mtoto kusema mama.
 
- Unachosahau ni mara nyingi huwa nakutetea hata wewe especially ile scandal yako moja ya chini kwa chini a ya yule mbunge wa vitimaalum wa CCM hahahahahaha, I hope huwa siwi msemaji wako mkuu sana vipi UKAWA mnaendeleaje mkuu sana!!

Le Mutuz

Sio kila mtu ni Ukawa...kaka ...
Hata Mimi Huwa Mara nyingi tu na kuwa upande wako ...toka zamani ..Kama ambavyo pia Mara nyingine ...Huwa " namkoma Nyani giladi " .....kumbuka sisi Ndio Wazee wa 2005 Huku ...Enzi zile ambazo ...watu wanakesha Jambo Forum ...Miguu kwenye maji ...wanapeana Za USO ...it's like kwa ile standard hatuwezi gombana kwa Ajili ya hoja shallow ya Clouds ..

Naamini unahisi tu ...Kama unajua kuna niliyemgegeda nakuruhusu mtaje ...Mimi sio mtu wa show off beside that ...I believe in "doctrine of unknown" ...so Pengine unayemdhania ni Mimi Sie ...,na Siku ukinijua ..sijui itakuwajeee cos ..tunakaa Sana tu ..ila Mara nyingi unanidhania na watu wengine kabisa ...comrade !!!
 
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!

hii ni disrespect kwa Diamond. unataka kusema kipaji wamempa wao!? huu ni upuuzi na ukosefu wa nidhamu kwa mtu anayetumia nguvu na akili yake kufanya kazi nzuri. hao unaowasema ndio wanamtungia nyimbo au kuproduce nyimbo zake?
 
Haaaaaaahaaa eti disrespect...ivi kuna watu wangapi wana kipaji zaidi ya Almasi?hii industry ni zaidi ya kipaji kuna watu wako nyuma ya huu muziki wanaamua nini kitokee naomba nishawishi kua Almasi kwa Bongo ndio pekee anajua kuliko wenzie,mkuu kubali ukatae ila jua Clouds wale watu ndio wanasukuma jahazi la muzic industry na mimi kutoka moyoni SIWAPENDI ila lazima nikubali wako vizuri kwenye hili na ujue uyo Almasi ni KIBAtari walichokiwasha wakiamua kukizima wanaweza kama unataka tuongee kuhusu upuuzi wa huu muziki karibu sana.
 
Back
Top Bottom