Alisahau kuwa Diamond alifanya Fiesta ya Mwanza. Isitoshe, Prime Time wamefanikiwa kuifanya Fiesta kusimama yenyewe bila kutegemea mwanamuziki yupi yuko juu. Mashabiki wameiamini, wanaifuata tu Fiesta iliko, ndio maana wanajaza watu kila wanakokwenda.
Ova
naomba uelezee how clouds made Diamond!
Si kweli hata kidogo!
Waulize kwanza Vinega na wengineo ni kwa nini wanalia na Clouds na Ruge? Kuna redio ngapi Bongo?
''Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa''.
Hebu nirudie swali lako Diamond ''Clouds wamshindwa Fiesta''
Hapo juu umejijibu chini swali....................?Kweli wewe kiraza sana sasa hata clouds wangempa show atashiriki vp?
Rudia tena kusoma utaelewa tu kama wenzako.
Usiwe mvivu mvivu kijana!!
Mimi sina wasiwasi ni kuwa ukiuliza swali usiwe unaandika pumba nyingi kujaza pamphlet eti kizibitisho cha jibu sahihi.Andika short and clear.Rudia tena kusoma utaelewa tu kama wenzako.
Usiwe mvivu mvivu kijana!!
Mimi sina wasiwasi ni kuwa ukiuliza swali usiwe unaandika pumba nyingi kujaza pamphlet eti kizibitisho cha jibu sahihi.Andika short and clear.
Umejitahidi japo pumba zilikuwa nyingi.
- Kaka sasa hivi bendi ya mujini ni Yamoto Band naomba kukuuliza unajua ni ya nani?
Le Mutuz
Sidhani kama wameshindwa Diamond Kwa Ruge hata hata bure anafanya show Meneja wa Daimond ni Babu ila mwenye Remote Control ni Ruge
- No way lini uliwahi kusikia Clouds wameajiri Super Star kwenye system yao? Huwa wanaajiri and then ndio wanatengeneza wao wenyewe vipaji, with Clouds it does not matter nani yupo Jukwaani nani hayupo wakitaka anything on entertainment they just do it na wao wana uzoefu mkubwa sana so,
- Clouds waliona umuhimu wa Ddiamond kuwa Mwanza siku ya ufunguzi wa Fiesta he was there uliza alivunja safari ngapi kuja pale, kiwango cha Diamond hakina mfano Tanzania lakini hajawa bigger than Clouds kama unavyotaka kusema na wala sio ishu between them kwa sababu hata wewe hujui nani ni meneja wa Diamond,
- Wewe unajaribu kuchanganya ishus baada ya kukubana, kiwango cha Diamond hakina anything na kutopiga kwake kwenye Fiesta, Clouds can always do wonders bila big Stars na ndio utamaduni wao unless huwaelewi vizuri, kaka nakuelewa sana nia na madhumuni yako ya hii thread kubali umekosea ukachanganya maneno, nasema kiwango cha Diamond hakina anything to do na kutokuwepo kwake kwenye show nyingi za Fiesta,
- Serengeti wanauza jina na vinywajikwenye hizi show tena kwa records, bila diamond which is lengo lao nani apige nani asipige mwisho wa Fiesta bado ni uamuzi wa Serengeti kwa kuapata usahuri wa Clouds utaona kama diamond hakuwepo siku ya mwisho hapa Dar why ndio uamuzi sahihi wa biashara ya entertainment kaka,
Le Mutuz
Niambie kuwa ni Mawingu!!
Kila mtu mjini anafahamu wendeshaji au wamiliki wa band ya Yamoto.
Mwenzetu kwa ulivyotangulia mbele utataka kutufundisha na hili pia!! Teh teh teh!!
Ni lazima utakuwa ulimlipa Fella tu!!
Sio kweli,clouds hawafanyi kazi na super star kwa sababu ya maslahi Hilo liko wazi mwngine ulioeleza hapo juu naweza kukubaliana nawe ila sio hili...wale ni capitalist haswaa...faida kwanza mengine yanafuata..
- Wala nisingekuwa na sababu ya kukuuliza kama ni hivyo muwe mnauliza mambo ya mjini hapa hayapo kama yanavyo onekana kaka yamejificha ficha sana Fella ana uwezo kupigisha nyimbo za Yamoto Band kila baada ya dakika tano Radio za Clouds?
Le Mutuz
- Wala nisingekuwa na sababu ya kukuuliza kama ni hivyo muwe mnauliza mambo ya mjini hapa hayapo kama yanavyo onekana kaka yamejificha ficha sana Fella ana uwezo kupigisha nyimbo za Yamoto Band kila baada ya dakika tano Radio za Clouds?
Le Mutuz