TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana.
Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA?
Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua fyongo za EWURA.
"Nani wamekuwa na uthubutu wa kuwaongelea wahanga wa mamlaka hizi bila kujali kulipiziwa visasi? Hii ikiwa hata bila ya wao kuwa wameguswa moja kwa moja? Wengine ninyi si imekuwa kusema hadi mkaliwe kooni wenyewe tu?"
"Ubinafsi wenu si ndiyo unaowapa nguvu miungu watu hawa waliopaswa kukusikiliza wewe na badala yake wapo kukunywesha maji kwenye karai?"
Your browser is not able to display this video.
Kwani yeye alidhani kelele za wapinzani siku zote zilikuwa kuhusiana na nini kumbe? Kwani hakujua kwanini tulishangaa na wimbo wake "baba letu?"
Tofauti yao na yeye kwenye hili analoliongea sasa si ni kuwa leo yeye ameguswa tu? Wenzake kwao sera zote za kigandamizi ni mwiba usiovumikika hata kama wao haziwagusi moja kwa moja.
Diamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani?
Kwamba kwake wapinzani ndio wenye roho mbaya?
Kwa hiyo kauli yake, huyu mtu hata kama yanamkuta lakini ni kama bado ana mentality ya kujipendekeza kwa CCM, ameleta suala lake public ili kutafuta huruma tu kwa watanzania.

Watawala wakiona mambo hayaendi au hawana la maana walilolifanya au wakiona maisha magumu huwatafuta hawa kina diamond kupumbuza wananchi na kuwasahaulisha matatatizo waliyonayo. Juzi tu hapa alikuja znz kukata viuno kwa mualiko wa Mwinyi.
Sasa na wao kina diamond kwa kua ni part of conspiracy, wanajiona wana immune ya kutokufuata sheria na kua watawala watawalinda wakisahau kua watawala hawana urafiki wa kudumu.

Jifunzeni kupambana vita kwenye maisha kwa mikakati yenu.
Uwe individual au taasisi kufikia malengo yako ni jukumu lako.
Usilazimishe wengine wapambane kwa kufuata strategy yako.
In life mnaweza mkawa na objective moja lakini mkapishana kufikia lengo, its OK.
Nakumbuka wakati wa Brexit wanasiasa wa mainstream parties both pro and anti Brexit (Labour, Conservatives na Lib-Dem) waliungana kwenye campaign zao.
Lakini hizo team mbili za mainstream parties hawakutaka kabisa wanasiasa wa vyama vingine au taasisi zingine zenye objectives hizo hizo; ambazo wanatumia racist propaganda au nationalism idologies kuungana nao waliwaacha wapambane kivyao.
CHADEMA na viongozi wake lazima waelewe ni utoto kulazimisha watu wasio wanasiasa ku support movement zao hadharani. Jukumu lao ni kushawishi wachague wanachopigania wakipata nafasi ya kuwapigia kura, lakini uwezi kulaumu raia wakipata shida mbona ukuunga mkono jitihada za chama kwenye agenda husika acha yakukute huo ni utoto.
TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana.
Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA?
Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua fyongo za EWURA.
"Nani wamekuwa na uthubutu wa kuwaongelea wahanga wa mamlaka hizi bila kujali kulipiziwa visasi? Hii ikiwa hata bila ya wao kuwa wameguswa moja kwa moja? Wengine ninyi si imekuwa kusema hadi mkaliwe kooni wenyewe tu?"
"Ubinafsi wenu si ndiyo unaowapa nguvu miungu watu hawa waliopaswa kukusikiliza wewe na badala yake wapo kukunywesha maji kwenye karai?"
Kwani yeye alidhani kelele za wapinzani siku zote zilikuwa kuhusiana na nini kumbe? Kwani hakujua kwanini tulishangaa na wimbo wake "baba letu?"
Tofauti yao na yeye kwenye hili analoliongea sasa si ni kuwa leo yeye ameguswa tu? Wenzake kwao sera zote za kigandamizi ni mwiba usiovumikika hata kama wao haziwagusi moja kwa moja.
Huu ni ujinga na kutaka sifa za bure- yaani malalamiko ya hatua za kijinga zinazofanywa na taasisi za srikali yameanzishwa na upinzani?! Mbona miaka yote watu wanaoguswa wanalalamika. Wakati wa kipindi cha mikingamo tena kikikrusha na RTD Sugu alikuwepo? Hata hiyo CHADEMA ilikuwepo?