federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
nlichogundio wewe kweli ni shabiki wa diamond unaejielewa, heshima sana mkuu wote mkiwa hivi mambo yataenda vzur sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakua hujaskilza vzur, hajamtaja mama wa mtu. .. hata ney wa mitego alikua anamsema ommy kua hadindi, sasa mbna hujahis maza wa ney ukaenda kwa D, nyie ndio mnachochea bifuINAVYOONEKANA WATU MNA VIPAJI SANA VYA UTABIRI NA KUSHAURI - SASA KWANINI NINYI HAMTUMII TABIRI KAMA HIZO KUJITABIRI UTAJIRI ILI MUACHANE NA TABIA ZA AKINA DIMPOZ !! ANYWAY MIMI NIMEUMIZWA NA JINSI DIMPOZ ALIVYOMTUKANA MAMA YAKE DIAMOND KWA BIFU ZAKE NA DIAMOND - NADHANI MWENYE WAZAZ ANAJUA
We unavyodhani ni mama wa msanii gani anayetumia sana insta? Umeona insta mama wa watu anavyochafuliwa?utakua hujaskilza vzur, hajamtaja mama wa mtu. .. hata ney wa mitego alikua anamsema ommy kua hadindi, sasa mbna hujahis maza wa ney ukaenda kwa D, nyie ndio mnachochea bifu
Ukiandika Hiyo Thread Tafadhali Naomba Unipe Tag MkuuJamaa unaakili sana...miye ni fun pia WA diamond.. Msanii wetu katuangusha. Nadhani sallma brand meneja hajui majukumu yake..kazi kubwa ya brand manager ni kutengeza PR nzuri ya msanii kwa mashabiki pamoja na wasanii wenzake...!! Sallam mtoto wa forest Moro.namjua yule.. Mjanja mjanja sana, mtoto wa mjini..! Kesho ntaandika threads kuhusu diamond na sallam... Diamond ajue pia sisi mashabiki tunataka mziki mzuri siyo kujisifia sifia eti mungu anamsaidia mwema..
Nimwwahi kuandika thread kuwa diamond atafail ni katakana weeee
INAVYOONEKANA WATU MNA VIPAJI SANA VYA UTABIRI NA KUSHAURI - SASA KWANINI NINYI HAMTUMII TABIRI KAMA HIZO KUJITABIRI UTAJIRI ILI MUACHANE NA TABIA ZA AKINA DIMPOZ !! ANYWAY MIMI NIMEUMIZWA NA JINSI DIMPOZ ALIVYOMTUKANA MAMA YAKE DIAMOND KWA BIFU ZAKE NA DIAMOND - NADHANI MWENYE WAZAZ ANAJUA
Ommy leo kwa mara ya kwanza nimemwona wa tofauti maana siku zote nilidhani yeye ndiye mwenye matatizo sasa after that interview nimeona kumbe sio.
Kufanikiwa katika maisha haina maana wewe ni bora zaidi ya wale ambao hawajafanikiwa.
Diamond amelewa sifa, hivyo anaona wengine ni takataka tu katika Muziki wa Bongo Flavour.
Ameingia kwenye mtego wa maneno yake, amempa Ommy Dimpoz Jukwaa la kupiga hatua zaidi na yeye Diamond kurudi nyuma zaidi.
Muda sio mrefu watu wataanza kumchoka, na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa Muziki wake kupotea kabisa.
Mkuu umeongea maneno yenye busara tupu, binafsi sikuipenda ile post ya majivuno na ile ya matusi.Jamaa umemaliza
Naongezea kwa kuwataka kina Fella na Babu Tale waingilie kati hii ishu, Huyo Sallam kama ni mtu wa show za nje aandae ma bif ya kimataifa si vurugu anazo leta hizi, anafeli hapo. majivuno huja kabla ya kuanguka, Diamond huyu wa siku mbili hizi si Diamond wa kila siku.
Kwa kweli ni bora kuwa kimya uwape watu doubt ila kuongea watu wathibitishe kuwa ni mjinga, kama shabiki wa Diamond nime mind sana hii ishu.
*kwenye lugha kali tuvumiliane