Diamond fata ushauri huu mapema or else!

Diamond fata ushauri huu mapema or else!

INAVYOONEKANA WATU MNA VIPAJI SANA VYA UTABIRI NA KUSHAURI - SASA KWANINI NINYI HAMTUMII TABIRI KAMA HIZO KUJITABIRI UTAJIRI ILI MUACHANE NA TABIA ZA AKINA DIMPOZ !! ANYWAY MIMI NIMEUMIZWA NA JINSI DIMPOZ ALIVYOMTUKANA MAMA YAKE DIAMOND KWA BIFU ZAKE NA DIAMOND - NADHANI MWENYE WAZAZ ANAJUA
utakua hujaskilza vzur, hajamtaja mama wa mtu. .. hata ney wa mitego alikua anamsema ommy kua hadindi, sasa mbna hujahis maza wa ney ukaenda kwa D, nyie ndio mnachochea bifu
 
Team kiba hapa
Kweli mkuu sometym hua na mfurahia mond lakini kwa kauli zake nmemshusha hadhi kanye west sa hv nae anapoteza fun base maneno yake kwa wasanii wenye akili wanawez fanya kitu na wakamshusha hapo alipo sitak kuamini kama anaanza kupoteza muelekeo but ni management yake inazingua hasa salam kama ulivo zungumza amekua mtu wa kuropoka toka shoo ya mombasa ya chris brown....unaweza kuta mashirika ya utoaj tuzo yanamfatilia post zake na yakikuta upuuz huo yana mshusha heshima na akishushwa mpinzan wake wa karbu anapandishwa
 
utakua hujaskilza vzur, hajamtaja mama wa mtu. .. hata ney wa mitego alikua anamsema ommy kua hadindi, sasa mbna hujahis maza wa ney ukaenda kwa D, nyie ndio mnachochea bifu
We unavyodhani ni mama wa msanii gani anayetumia sana insta? Umeona insta mama wa watu anavyochafuliwa?
 
Mimi kama shabiki wa Diamond na wasanii wengine wanaofanya vizuri naunga mkono hoja 100%, Diamond kwa Mara ya kwanza kachemka vibaya kwenye hii ishu, na alivyoandika yale majivuno yake ndo kazidi kuudhi zaidi, kama hajui kajipotezea mashabiki wengi kwa siku hizi 2, binafsi naimani ameteleza atajirekebisha kama ana akili
 
Diamond hapaswi kulaumiwa kivyovyote vile,uvumilivu nao una limits zake,acha aongee kuondoa tempa yake,wamemuandama sana na yeye kibinadamu hawezi kuvumilia kila kitu kutoka kwa wanaomuombea mabaya mengine hayavumiliki,sijaona kosa lake,

Kunya anye kuku tu akinya bata kajinyea.
 
Jamaa unaakili sana...miye ni fun pia WA diamond.. Msanii wetu katuangusha. Nadhani sallma brand meneja hajui majukumu yake..kazi kubwa ya brand manager ni kutengeza PR nzuri ya msanii kwa mashabiki pamoja na wasanii wenzake...!! Sallam mtoto wa forest Moro.namjua yule.. Mjanja mjanja sana, mtoto wa mjini..! Kesho ntaandika threads kuhusu diamond na sallam... Diamond ajue pia sisi mashabiki tunataka mziki mzuri siyo kujisifia sifia eti mungu anamsaidia mwema..
Ukiandika Hiyo Thread Tafadhali Naomba Unipe Tag Mkuu
 
nilimchukia zaidi alipojifanyaga yeye ni ccm kushinda kina mzee Warioba akaanza kumtuka mzee Lowassa
 
Mafanikio isiwe fimbo ya kuwa dharirisha wengine kwa nguvu ya media houses, Diamond omba msamaha kwa mashabiki zako ili urekebishe image yako katika jamii, hakuna kitu kibaya kama kuharibu au kuchafua company image kwa consumers, ww ndy icon ya company yako Hao wanaokuzunguka sidhani kama wanaliona hilo mpk wanashindwa kukushauri kipi cha kuzungumzia kipi cha kuacha kipite!
Universal music wamekuja wcb si kwa sababu ya Salam ila kwa sababu ya juhudi zako katika kazi,
Epuka kutengenezea watu topic to speak hii ni mbaya sana maana haikusaidi ila itakuongezea maadui na kumbuka huu mziki hukuanzisha ww kuna wengi naimani wamekusaidi mpk hapo ulipofikia, unachotakiwa kufanya kwa sasa tafuta watu wenye uelewa juu ya mambo ya branding ufanye vitu vya maana acha kudharau watu kwa maneno ya kejeri na kuhusisha Muumba kwenye mambo ya kipuuzi . kwa sasa unawakirisha nchi sio tandare tena kaa vizuri na wasanii wenzio utafuna busara zao. Angalia mfano kwa A.Y
Media houses zinajenga na zinabomoa pia
Take care bro haya maisha tu, walikupandisha ndiyo watakao kushusha.
 
Nimwwahi kuandika thread kuwa diamond atafail ni katakana weeee
INAVYOONEKANA WATU MNA VIPAJI SANA VYA UTABIRI NA KUSHAURI - SASA KWANINI NINYI HAMTUMII TABIRI KAMA HIZO KUJITABIRI UTAJIRI ILI MUACHANE NA TABIA ZA AKINA DIMPOZ !! ANYWAY MIMI NIMEUMIZWA NA JINSI DIMPOZ ALIVYOMTUKANA MAMA YAKE DIAMOND KWA BIFU ZAKE NA DIAMOND - NADHANI MWENYE WAZAZ ANAJUA


Mpaka kufikia Ommy kumtusi mama wa diamond ni sababu Diamond kampa huo ukumbi ndicho wengine alichotuudhi.
 
Ommy leo kwa mara ya kwanza nimemwona wa tofauti maana siku zote nilidhani yeye ndiye mwenye matatizo sasa after that interview nimeona kumbe sio.


Ommy hawezi kuwa ni innocent ila ametumia gap alilotengeneza Diamond kummaliza Dai. Sababu ukisikiliza malalamiko ya Ommy utaona kuna maswali mengi kuliko majibu... Mfano anasema alikuwa anamkimbia akitaka kwenda nae nje ya nchi... Lakini Nakumbuka video ya Ndagushima walienda kufanya wote Uingereza na sehemu ya ghrama alizitoa Diamond.. Lakini nani aliyeruhusu huyu dogo vihips akanye kiasi kile zaidi ya Diamond mwenyewe?
 
Ommy anataka tumia mgongo wa diamond kupaa kama ilivyo kwa kiba mbio za sakafuni huishia ukingoni

Na ameitafuta hii kiki muda mrefu hatimaye kipuuzi kabisa wamempa.
 
Kufanikiwa katika maisha haina maana wewe ni bora zaidi ya wale ambao hawajafanikiwa.
Diamond amelewa sifa, hivyo anaona wengine ni takataka tu katika Muziki wa Bongo Flavour.

Ameingia kwenye mtego wa maneno yake, amempa Ommy Dimpoz Jukwaa la kupiga hatua zaidi na yeye Diamond kurudi nyuma zaidi.
Muda sio mrefu watu wataanza kumchoka, na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa Muziki wake kupotea kabisa.

Kupotea kabisa kwa Diamond sio leo ila inabid achukue taadhari hivi vitu vinaanzaga taratibu.
 
Jamaa kakosea sana, yaani mi mwenyewe nimekasirika sana [emoji51][emoji51][emoji51], yaani anaonyesha hajiamini na hajitambui kwamba yeye ni msanii mkubwa Africa kwa sasa, hata ukiweka top 3 Africa na yeye yumo. Sasa sijui kwa nini anajibishana na watu ambao wanakiri kwamba wanategemea msaada wake, yeye level zake ni kina Wizkid sio hawa kina Omari.
 
Katika uvumilivu nawasifu sana wanasiasa..Ajifunze kutoka kwao!

Alikua anaenda vizuri na ile"na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga"..

Ila kwa mwendo huu anajishusha.
 
Jamaa umemaliza

Naongezea kwa kuwataka kina Fella na Babu Tale waingilie kati hii ishu, Huyo Sallam kama ni mtu wa show za nje aandae ma bif ya kimataifa si vurugu anazo leta hizi, anafeli hapo. majivuno huja kabla ya kuanguka, Diamond huyu wa siku mbili hizi si Diamond wa kila siku.

Kwa kweli ni bora kuwa kimya uwape watu doubt ila kuongea watu wathibitishe kuwa ni mjinga, kama shabiki wa Diamond nime mind sana hii ishu.

*kwenye lugha kali tuvumiliane
Mkuu umeongea maneno yenye busara tupu, binafsi sikuipenda ile post ya majivuno na ile ya matusi.
-*si uungwana mbele ya jamii.
 
Back
Top Bottom