Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Hebu angalia ulichoandika kwa mara ya pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu angalia ulichoandika kwa mara ya pili.
Hakna sperm donor kwa domokaya lazima imtafuneeee tyuuhRadhi ya sperm donor haiwez mpata
Baba yake alikuwa sperm donor dua lake halimpati mwewe...
Utaona lazima im,malizeeeeBaba yake alikuwa sperm donor dua lake halimpati mwewe...
Si kwa dua la baba yake labda kwa makosa mengine
Kuwa mbishi hivyo achana na radhi kwa mzazi haikoseagi na haikwepekiSi kwa dua la baba yake labda kwa makosa mengine
Misukule ya Diamond hamkosekani kutetea kila kitu hata kama ni cha kipumbavuAmehojiwa na TV ya Carry Mastory? Inabidi atulie dawa imuingie, mnavyotelekeza watoto malipo ni hapa hapa, nyau nyie. Mpo wengi tu, hata humu JF.
Mzazi ndiyo siyo sperm donor, yani uwe kama nyoka uweke halafu usepe mtu haangaike afanikiwe eti iwe lazima kukusaidia wakati we hukumlea... hiyo radhi haipoKuwa mbishi hivyo achana na radhi kwa mzazi haikoseagi na haikwepeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kupanda mbegu kwenye shamba halafu ukaitelekeza ukategema utakuja kupata mavuno mazuri. Ili liwe funzo kwa sisi wanaume tunaotelekeza watoto halafu wakifanikiwa tunaanza kulilia.
We unadhani asingekuwa juu angemhitaji kwani huyo mzee ana watoto wangapi? WHy Diamond?
Kuna mambo mengine mazito sana kuyaelewa mkuu, na tunavyoyaona kwa nje ni tofauti sana na yalivyo ki uhalisia.
Cha msingi ni kuwaachia wenyewe tu wapambane nayo huku wewe ukihangaika na yanayokuhusu.
Na wewe una hakika gani kuw hakumtelekeza makusudi?Hizi ni akili za watu wasio na fikra.
Una uhakika gani kuwa baba yake alimtelekeza maksudi?
Leo diamond anakaa na mtoto hata mmoja?Si amezaa?
Unadhani huko waliko watoto mama zao wakiwa wapumbavu wakawaambia Diamond alikuwa hawajali wala hakuwa anakuja kuwaona,na aliendekeza umalaya,unadhani watoto watamkubali?
Unajua Mungu ya Mungu mengi,kesho hatuijui,huyo Diamond akifilisika uzeeni,na watoto wakawa wamelishwa sumu,unadhani watamjali?
Suala la kusema Mzee ana watoto wengine, kwani wana maisha gani?Nao wamelipia Nyumba watu 500?Ana watoto wa kiume wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amehojiwa na TV ya Carry Mastory? Inabidi atulie dawa imuingie, mnavyotelekeza watoto malipo ni hapa hapa, nyau nyie. Mpo wengi tu, hata humu JF.