Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

Huna unalojua wewe , Huyo mzee alikuwa na hela Sana Tena Sana nenda magomeni kaulize ... Mzee kufulia ni Hali ya kawaida kwa binadamu yoyote Kuna kupanda na kushuka ...

Yule mzee huwa namuona Sana magomeni mikumi amechoka Sana Tena saaaana , hastahili kuishi Yale maisha ... Hata nyumba anayoishi baba diamond tukikuwekea hapa hutaamini... Yani unamnunulia baba yako Bodaboda unashindwa kurekebisha hata kinyumba Chake hapo magomeni?? Mbona amepajenga kwa mama Yake Tandale !?? Au hujui hili...

Namuomba diamond Kama Kuna lolote moyoni mwake kuhusu baba Yake asahau na amfanyie Jambo ... Kama ni Nyumba ajenge , Kama ni gari amnunulie siku Huyo mzee akizifuja dunia itaona kuwa mzee kazingua .. ila kuja hata kumtetea diamond wakati sisi tunajua Huyo mzee mpaka anapoishi magomeni na watu baki wanaomsaidia tunawajua
 
Kho kho kho kho kkkho!!msiogope nimevaa barakoa,ila huyu mana dangote nikimchekigi yaani ile Wah!! Naona kabisa kuwa huyu mama alikuwa hajatulia,mara avae vinguo vya ki raksi wakati ni mbibi kasoro mkongojo,yaani kabisa domo a,k,a Simba analala kabisa chumba hiki huku anajua kabisa kuwa mazeri yuko anapelekewa faya chumba B na fala flani asiye na mbele wala nyuma?

Tena kwa kutegemea wallet ya simba? Bora ingekuwa ndio dingi halafu tunaishi naye kisela baada ya kuzinguana na wife ake ndiyo aniambie ameotea ki raksi chake cha kujipozea ntamwelewa,ila siyo maza asee,ntakupiga magujuruu nikutoe na taulo hadi alikoolewa mamaako!!shubaamit
 
Hizi ni akili za watu wasio na fikra.

Una uhakika gani kuwa baba yake alimtelekeza maksudi?
Leo diamond anakaa na mtoto hata mmoja?Si amezaa?
Unadhani huko waliko watoto mama zao wakiwa wapumbavu wakawaambia Diamond alikuwa hawajali wala hakuwa anakuja kuwaona,na aliendekeza umalaya,unadhani watoto watamkubali?

Unajua Mungu ya Mungu mengi,kesho hatuijui,huyo Diamond akifilisika uzeeni,na watoto wakawa wamelishwa sumu,unadhani watamjali?

Suala la kusema Mzee ana watoto wengine, kwani wana maisha gani?Nao wamelipia Nyumba watu 500?Ana watoto wa kiume wangapi?
Huwezi kupanda mbegu kwenye shamba halafu ukaitelekeza ukategema utakuja kupata mavuno mazuri. Ili liwe funzo kwa sisi wanaume tunaotelekeza watoto halafu wakifanikiwa tunaanza kulilia.
We unadhani asingekuwa juu angemhitaji kwani huyo mzee ana watoto wangapi? WHy Diamond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengine mazito sana kuyaelewa mkuu, na tunavyoyaona kwa nje ni tofauti sana na yalivyo ki uhalisia.

Cha msingi ni kuwaachia wenyewe tu wapambane nayo huku wewe ukihangaika na yanayokuhusu.

Hii comment niya ki “Greater Thinker” kabisa. Vitu vingine huwezi elewa kirahisi kwa kusikia na kuambiwa . Muhimu kama havikuhusu achana navyo kabisa unaweza umia nafsi na kijiwazisha bure.
 
Hizi ni akili za watu wasio na fikra.

Una uhakika gani kuwa baba yake alimtelekeza maksudi?
Leo diamond anakaa na mtoto hata mmoja?Si amezaa?
Unadhani huko waliko watoto mama zao wakiwa wapumbavu wakawaambia Diamond alikuwa hawajali wala hakuwa anakuja kuwaona,na aliendekeza umalaya,unadhani watoto watamkubali?

Unajua Mungu ya Mungu mengi,kesho hatuijui,huyo Diamond akifilisika uzeeni,na watoto wakawa wamelishwa sumu,unadhani watamjali?

Suala la kusema Mzee ana watoto wengine, kwani wana maisha gani?Nao wamelipia Nyumba watu 500?Ana watoto wa kiume wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe una hakika gani kuw hakumtelekeza makusudi?
We ushawahi kusikia mzee wake akijitetea kuwa hakumtelekeza?
Mimi nilishawhi kuona interview diamond akiongelea alivyoenda kwa baba yake kipindi ana ela kuomba ela ya shule akamtimua...
Hata yeye Diamond akiwatelekeza watoto wake bila kuwahudumia atavuna alichopanda... Hii ni funzi kwa wote yani ulalamike kuhudumiwa wakati ulikuwa na uwezo wa kuhudumia hukuhudumia???
 
Nahisi ni uchungu tu wa kutelekezwa ndio maana umetoa comment hii,sikulaumu kwa kuwa watu wengine humu ni devil worshippers.

Ila mimi siwezi kula kwa amani huku nikimuona Jirani yangu analia njaa,sembuse baba yangu!

Women are devils
Amehojiwa na TV ya Carry Mastory? Inabidi atulie dawa imuingie, mnavyotelekeza watoto malipo ni hapa hapa, nyau nyie. Mpo wengi tu, hata humu JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa anauza Supu ya Mapupu Tandale Sokoni Leo angetafutwa? Ukipanda Mahindi usitegemee kuvuna Mpunga. Huko huko alikokimbilia akatunzwe.
 
Tatizo la diamond show off nyingi sana!!

Wasafi Radio sio yake,mmiliki ni mke Joseph Kusaga ndiyo mwenye % kubwa,maana yake siku wakiona umaarufu wa Diamond umeshuka,watanunua hisa zake zote za Wasafi Media, na Diamond hatakua na kitu tena Wasafi!!

Hata hiyo Hotel,nina uhakika sio yake,kuna watu wapo nyuma yake, Kama sio Kusaga huyo huyo basi kina Bashite! Wanamtumia sababu ana jina,brand kubwa,subiri achoke,walahi mtakuja kukimbiana hapa! Wazungu wanamsemo wao Time will tell!!

Kuhusu ugomvi wa yeye na Baba yake,asipende kuambiwa mambo ambayo sisi tushakua watu wakubwa sasa,Mshua na Maza kuzinguana hizo ni mambo zao,sisi kama watoto tubaki kati tu,hivi kama mzee alikua ananyimwa gegedo na mama diamond,unadhan angeishi bila kula pembeni? Sisi ni watoto tu! Diamond leo baba yako! Mama Kanumba alipata shida sana baada yakanumba kufariki dunia

Sent using, Mashikoro Mageni
 
Back
Top Bottom