Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hanaga utani kwenye maswala ya domo....
Ataandika gazeti kumtetea...
Mziki wake mtauwezaaaa? Nyie mchokozeni le bilionea tu
Haaaaaa akishushia na screenshot lol.
Anajitahidigi kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hanaga utani kwenye maswala ya domo....
Ataandika gazeti kumtetea...
Mziki wake mtauwezaaaa? Nyie mchokozeni le bilionea tu
Mpwa vipi mbona maneno mengi hivyooo
Hapana.
This is celebrity's forum.
Ila ni spanking news!
Si ndo sintah alimuunganishia bibie zari kwa bilionare Katunzi ama kweli kizuri kula na nduguyo. Huyo huyo sintah ana mtoto na katunzi.
Hahahahaaa eti kizuri kula na nduguyo, khaa weww mtoto sikuwezi.
Kwahiyo Sintah akampasia shoga ake Katunzi?
Mpwa anawiwa Calabash saa hizi, jana nilikuwa changa...... Pale contena.
Tushtuane Mpwa n weekend hiyo inakujaaaa
Anzia post namba 90 muone Zari na dada ake anayeishi Dar akiwa amevaa nguo hiyo hiyo iliyovuja kupiga na katunzi na sehemu ni hiyo hiyo picha zilichukuliwa insta siku ziliporushwa msisahau kuangalia namba ya mawiki.
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=848110
Halaf
Naona shuzi sasa limepata mjambaji, mama shughuri mwenyewe ndani ya nyumba.
Warumi nilikuwa naimba humu kuhusu katunzi nikaonekana kichaa, khaa kiko wapi




