Diamond, hivi kweli limelipuka?

Diamond, hivi kweli limelipuka?

Yaani hii habari ni ile yaa yule mchagga alietakaga kuwa mke wa muganda kwa njia ya skype ex-mume wa Zari akaanza kuona wivu akamsakaaa weeee Z na matusi yote duniani na kumsingizia mambo akashindwa kisa pesa anazotamania. ex-mume alimwambia Zari ni mama watoto na bado ana share yakr katika mali zao walizoanza kuchuma wote kwa zaidi Zari akiwa mwendesha usikani wa kuendelea na kupanda juu. Akaajibiwagwa utamu akaweuka

Hapa juu nimeweka hayo tena humu jf ili hao wanaoharibu kuja humu na kutumia mablog kutaka kufungua issue wachoke wao na mastory ya wivu na tamaa kudandia mali na pesa. Si msubiri wawatongoze wao kama kweli mmewavutia au?

Ila Zari upo juu mtoto wa kiganda, wanatafuta pesa kwa kublogua kupitia jina lako.

1432846532549.jpg
 
View attachment 255433
hasaa jini kimavi.. u turn haisongi bila zari mie nataka tuu atupe na story za jumanne kimambi muzee ya mapafume mauturii wee ile siku ilee ya kiboga day!
 
Huyo mangi wa kipare nae wivu wivu umemjaaa anategemea maneno yake yatamshusha Z as anaakili kupita zake. Uzi humu diaspora hawapendani unamuhusu.

Yes na huyu adui yake wa zamani wamejumuika kumtukana Zari. pichani ni chagggaaaas beibei aliyebadilishaga na jina wakati ana tafuta ndoa kwa mganda alipoona wana utajiri.
 
Kwa akili hizi za "Uswazi" soon ukoloni utarudi ......"Wanaume kama mabinti" Note:Vijana wa Tanzania wenye mafanikio na wanaongoza kuwa na maadui wengi 1.ZZK 2.Albert Msando 3.Ruge 4.MMkandamizaji 5.DPlatnumz (Utapiamlo mbaya Wabongo wengi akili ndogo-akili za Ki-Wema sepetu).
 
aisee!
 
Nimeshangaa kwenye moja ya news inayotembea hivi hii ipo vip au ndio limelipukaa?

shikamooni wafukunyuku, mpaka baby Girl azaliwe Diamond utakuwa umeona rangi nyingi mwaka huu...
 
mpwa anawiwa calabash saa hizi, jana nilikuwa changa...... Pale contena.
mpwa napata supu kalabash umeniona spiritually nn jion ntakuwa hapo tukihitimisha mwezi
 
.kama ni kweli angalieni diamond asijekuwa katokea rombo
 
Back
Top Bottom