Diamond, hivi kweli limelipuka?

Diamond, hivi kweli limelipuka?

Ndimu haziwatoshi kabisa.
Usisahau picha chini kuziangalia

Mimba mimba utazani siku inaingia walikuwepo.

Halafu wengi hata kuhesabu tarehe hawajui yaani wanasahau kuanza tarehe ile ya kwanza ya siku ya he.dhi hapo sasa nani anaijua siku hiyo wamuulize Zarina mke ya Diamond na Diamond.

Kwa kukadiria na dates zao za kukutana November na kuduana mwezi huo kukadiria labda hedhi ilianza tarehe 1 kama wengi...ila inaweza ikawa siku hata za nyuma wengine kabla mwezi haujaisha au kwrnda kati ya mwezi pia ....inategemea. so pichani makadirio tu usianze kupayuka soma kula ndimu ukikataa


. mambo yapo shwari kabisa kabisa kwa mategemeo yao ya July/ August alisemaga D hivi juzi kasema Aug watu wanaugua kabisa kosa liko wapi wangapi duniani wanakosea mengi hata wao wenyewe au ndugu zao. Mnajua mambo yakienda salama bila hata mama kuugua tarehe zitakuja zilivyopangika . Bila kusahau +2 na -2. Mungu awalinde, Amina.

Ya katunzi sasa hivi kwa zile picha mimba ingekuwa imeshafika wiki 50 kama sio zaidi...lol

Zari ana dadake na shemeji na mwanao wanaishi Dar anakujaga kuwaona hao hawatajwi kabisa kabisaaaaaaa...uzi humu upo ulitoa picha.

Eeh na leo Diamond ataleta habari la duka la watoto alikoenda Msasani City mall na ndimu msisahau kuziweka pembeni yenu mtazidi kuziitaji.

Hadi nacheka jamani kuna nyuzi nyingi humu facts zimeshuka, ila zinapitwa bila kupingwa. Wamwache mtoto wa Tandale ajilie bata na kusubiria mwanae. Lazima wachawi wanawanga kujaribu kubadili sura ya mtoto tumboni.

Jana acha warukie eti fees fees, pesa zao wamebania hawataki kukomboa watoto hao eti waliotelekezwa si msaada. D kutoa contacts zake instagram naamini hadi sasa hawajampigia.

Tumwache D awe D bila D hakuna raha kwa waTZ kwa sasa, bila D hawauzi magazeti, hawapati hits kwa websites zao hawa kila kitu.

Ila kuzidisha mnazidisha na kutia aibu waTanzania kutupa picha mbaya sana ya hayo yote mabaya

Ila kiki anaipata Diamond platnumz na Zari yaani umaarufu wao twasubiria reality tv ije kwa kweli

Eeh kesho msisahau mwimbo mpya Diamond Platnumz ft Flavour NaNa

mmoja ya wa Nigeria waimbaji niwapendao kuwasikiliza kama umemsahau sikiliza moja ya hit zake bomba

https://youtu.be/yMSTYtMSbL0
(Nwa baby) Ashawo remix-

Enjoy

View attachment 255417

View attachment 255418

View attachment 255419

View attachment 255420

View attachment 255421

I just heart you mzurimie
 
Last edited by a moderator:
Watu watakufa mwaka huu :msela:
A%20S-rap.gif









 
Huyo mangi wa kipare nae wivu wivu umemjaaa anategemea maneno yake yatamshusha Z as anaakili kupita zake. Uzi humu diaspora hawapendani unamuhusu.

Yes na huyu adui yake wa zamani wamejumuika kumtukana Zari. pichani ni chagggaaaas beibei aliyebadilishaga na jina wakati ana tafuta ndoa kwa mganda alipoona wana utajiri.

Huyu Chaggaempress sijui chaggabarbie aka Stella Tillya sijawahi kuona mchagga bogus kama huyu. Yaani being in America all these years hana papers za kuishi kule, but all she does is taking pics of herself and uploading on Instagram. Utaona ma caption meengii ya kuhustle sijui nini but there has never been a day she has posted a photo of herself at work. How come someone who likes to share her whole life on insta doesnt have even a single photo of herself at work or even at work toilets?
Mimi ni mchagga and I wish this woman stopped calling herself chagga this chagga that, what a disgrace. Alivyoanzana na Prezzo she didnt waste any minute to start a fight with Huddah. Mwanamke mzima supposed to be in your 30's throwing matusi to a 22 year old instagram, really? Na huna cha maana unafanya. Then there was the spectacular fall out with Prezzo. Hivi kweli who in their right minds among women, would go on instagram to kutukanana na your so called boyfriend? Matokeo yake alidhalilika vibaya mno mpaka wadogo zake huko Tanzania were begging her to stop.

Now to make it worse, she is now apparently dating Zari's ex husband who lives in South Africa. Mind you she has never met this guy, and she used to comment on Zari's photos huko nyuma na kuomba urafiki. So this time again she didnt waste anytime and started attacking Zari. She automatically got accepted by team Wema. She started calling herself Muke ya Mganda. She tells people she will soon leave the USA (obviously it will be for good because she would never be allowed back in) to go and start life with Ivan. Yeah, you read it right, in her mind she is seriously dating Ivan through Skype. Haki tamaa ya pesa hii Mungu atuepushie.
This woman is a disgrace to the tribe and should never use "chagga" to describe herself.
 
Jamani hii sasa ni too much, vyovyote iwavyo mama ndio anayejuwa biological father wa mtoto, pamoja na uswahiliuswahili wa Diamond ni vyema private bizines zake tumuachie mwenyewe na yeye ni binadamu maneno kama haya yanaumiza bado mdogo yule jamani kuhimili misukosuko ya duniani.

Kweli mkuu asingiziwe asisingiziwe yote maisha wangapi wako kwenye ndoa wanalea watoto wa nje wakijua wakwao.Dogo kasema lkn kwa hili wangemwacha jamani
 
WATAFITI WAMEWASUGUA HADI NA AKABANGA ZISHTUKE WAPII KAMA SIREHEMA YA MUNGU NSHDAA ZoAiDI
 
Wema ndio alimuacha Diamond kwa kumpa likizo au alikuwa anatishia kujamba wakati ana tumbo la kuhara? Au alikuwa anajaribu kama ndumba zake bado zina nguvu?
mama wema alifanya pati
 
Mode, angalia hii inaruhusiwa hapa, tunaomba mwongozo tafadhali.

Umeona hilo la warumi tu, huyo aliyetukana hadi server zikaedit hujaliona?
Roho mbaya haijengi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom