Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Bora amejisemea mapema!viherehere vipungue lol.Nani kama mama?
 
Bora amejisemea mapema!viherehere vipungue lol.Nani kama mama?
mali bila daftari... kuna hata asiyo yajua... hapo ndipo wapambe watakapo kuja miliki vingine ambavyo havijulikani kwa mama... watasema ana madeni kumbe hana ili yalipwe... wata tengenezwa watu mjini hapa, hacha tu kufa kufaana
 
Kuna uwezekano mkubwa ' Freemason ' wameshamtaarifu kuwa muda wao wa kuja kuchukua Roho yake umewadia rasmi.
 
Sawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!
Dunia njia... madai au ulithi haudaiwi kwa sheikh...
 
Mali za diamond zote kaandika jina La bi Sandra
na akifa bi sandra watoto wake watakuja kudai ulithi wa mama yao... hawa wakina asma sijui na wenzake... kama yupo yeye tu ajiandae kupambana na ndugu wa kigoma...
 
So akimuoa mmoja wa mzaz mwenzie uyo mtt ndo ataesabika halali au??
 
na akifa bi sandra watoto wake watakuja kudai ulithi wa mama yao... hawa wakina asma sijui na wenzake... kama yupo yeye tu ajiandae kupambana na ndugu wa kigoma...
Ndivyo itakavyokua hvyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…