Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Watagawana na Dada akeJe kama mama akitangulia kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watagawana na Dada akeJe kama mama akitangulia kufa?
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]jamani uuWakati wengine wanahuzunika na kulia,Steve msiba kwake ni habari njema!
Kakaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nshakwambia u mkorofi dadangu
Ndio hvyo ajitahidi tu kuoa au ndo maana mama yake hataki mwanawe aoe labdaExactly..Watoto madam si wa ndoa ni wa mama.
Kwani kaoaSawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!
Hajaoa bado na hana watoto wa kidini!Kwani kaoa
Ana watoto wa niniHajaoa bado na hana watoto wa kidini!
Hana watoto wale si wake ni wamama...!!Ana watoto wa nini
Huyo mama kazaa bila mondi?Hana watoto wale si wake ni wamama...!!
Siye twasema ana watoto wa nje ya ndoa
Kama namuona steve anavyomuwinda Dai maana anajua ni hela inayotembea pale maana atachangisha mpaka kwa Rick Ross daaaah hebu mungu tenda miujizaatateba rambi rambi steve nyerere
Hakuna aliyebisha na hilo kaka...dunia inajua kua wake...!!Huyo mama kazaa bila mondi?
Listen, wale ni watoto wake dunia nzima inatambua hilo. (kibailojia) kidini (watu ) wachache ndo useme sio wake.
Kama ni hivyo mnavyotaka Likija suala la matumizi kwa mtoto msimshirikishe diamond