Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ushamba wake wenyewe tunaozungumzia humu...huyu fala ni mshamba Sana...na hata hao wanaomshauri pia...alafu guo lenyewe alilovaa ni la kike Kwa wamasai.....yaani walivyo mafala walishindwa hata kujua vazi la kiume la kimasai likoje...jamaa likavaa likaonekana chizi linalotaka kuzamia red carpet...alafu wakaliweka mbali kabisa na wasanii wenzake waliokuwa nominated...Aibu yake...Mi nilishangaa japo na Ukapuku wangu nani alimshauri Mond avae lile Vazi it was one of the worst decison ever sawa na ile yakutengana na Zari, amekosa confidence maskini akawa anashangaa shangaa na Meneja wake badala ya kumwongezea Confidence akamwacha tu ana hang.........nadhani kuna wizara inahusika hapa juu ya Ushauri wa lile vazi
Yupo kwa mabwana zake anatenga chakulaYu wapi kigogo 2014???