Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

We kama huwezi kutoa muhtasari kausha tu.

Mambo ya kuniambia "ukipata utafatilia" ushanipangia bajeti hapo bila mimi kupenda.

Unanipangia bajeti bila kunipa hela, halafu unaniambia nisijali.

Unanikanyaga, nikikuambia umenikanyaga, unaniambia nisijali!
Hahahaha
Kiranga toto la kizaramo.
 
Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti😂 tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?😂

Angevaa smart sasa ameonekana kituko hamna hata mtu mwenye habari naye yani aibu kichizi! Imagine unaenda sehemu kama ile hamna hata mtu anayekushobokea hata msanii tu mwenzio 😂😂😂 yupo na babutale tu wanapuyanga na kushangaa shangaa!

Zari brought class to that fool ila ushamba wake na uswahili wa ile familia ndio uliwafanya wakatengana 😂😂😂! Ila kimsingi Zari alikuwa bonge la demu kwa Mondi regardless ya madhaifu yake!
This Maasai thing hakuna kitu kimeniboa na Kunishangaza kama huu Umasai wa Ghafla kama tumeshindwa kutangaza Utalii kama Taifa asitumike mtu kwenye Juhudi zake binafsi kuvalishwa Marubega yani mpaka nimemfananisha na Msanii mmoja alikuwa amebeba picha ya Hayati Dr. Magufuli alivaa kiasili sijui ni ngozi ile na Kaniki na kushika Ngao sijui na mshale kumuenzi daah
 
Ila nimeamini Kuna wanawake ukiwa nao unakuwa na kismati Sana .


K ya zari Ina kismati kimevusha Sana bwana sadala[emoji1]
 
Siku zote ni ngumu sana msanii anayeimba nyimbo zake kwa kiswahili kumshinda msanii anayeimba nyimbo kwa lugha ya Malkia Elizabeth wa Buckingham palace. Mshawishini Mond awe anatunga na kuimba nyimbo zake kwa lugha ya malkia ndiyo ataweza shinda tuzo za maana,vinginevyo mtasubiri sana.
Mkuu wasanii wabongo wanavipaji tena sana.tatizo masihara mengi na hawapendi kufikilisha bongo zao kutunga nyimbo za maana.Sasa kwa mfano mtu anaimba "ukuti ukuti mara yeesaayeesaa ye.."
Hiyo mistari unaiyekaje kwa kiingeleza.
 
NAKAZIA Pia kuna mahala nilisoma kwamba Media za Marekani kuna waafrica wachache walioajiriwa kutoka SA na Kidogo Nigeria sijui kwa Tanzania na Kenya kama kuna mtangazaji yeyote kwenye media za kimataifa kama BET na MTV anayeiwakilisha East Africa Uwepo wao ungesaidia sana kutoa kipaumbele hususani kwa nyimbo za wanamuziki wa EA sasa hivi hata kama zinapigwa hazipigwi inavyostahili ,ukilinganisha na mtu wa nyumbani ambavyo angetumia fursa kuzitangaza hii ingesaidia sana nyimbo zetu kujulikana kwenye Platform za Kimataifa.

Vijana wengi wenye vipaji nao wanaiendea siasa sababu kwa Tz inalipa sana, naskia kuna mmoja alishawahi kufuzu kutangaza
Channel O ila ndo hivyo tena sasa ni DC .

Vanessa Mdee alikuwa anatangaza chaneli gani kule SA naomba kukumbushwa
 
Unaona hatuna representatives hasa kwenye International Medias hivyo inamlazimu mtu mpaka amtafute mshikaji wa mshikaji ili nyimbo isikike huko nje....na hapo kama ni kuhonga siyo kitoto
Representative ni hakuna alafu niliwahi msikia Vanessa Mdee msanii akisema kipindi chote akiwa marekani huwa maclub mengi na hata media za huko wanawashaga sana nyimbo za Burna boy hasa hasa ile ya Gbona, Oluwa burna ilisky sana kwenye air waves za media nyingi marekani,

msanii mwingine nyimbo yake ilitrend ni ile ya Joahana didie drogba by afro B. Vee alihojiwa na Millard ayo kwenye amplify na Millard. So burna boy hits there several times. Lazima awe accepted kwenye nomining ya BET. Sasa habari za tajiri muulize maskini 😅😅😅
 
Hivi Diamond Platnumz ana tuzo ngapi kulinganisha na huyo Burna Boy? Nadhani Diamond is way too far from Burna Boy when it comes to number of awards winning...pia alikuwa na mameneja hao hao unaowaponda
Hata kofia ya meko nayo ni tunzo 😄😄
 
Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti[emoji23] tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?[emoji23]

Angevaa smart sasa ameonekana kituko hamna hata mtu mwenye habari naye yani aibu kichizi! Imagine unaenda sehemu kama ile hamna hata mtu anayekushobokea hata msanii tu mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] yupo na babutale tu wanapuyanga na kushangaa shangaa!

Zari brought class to that fool ila ushamba wake na uswahili wa ile familia ndio uliwafanya wakatengana [emoji23][emoji23][emoji23]! Ila kimsingi Zari alikuwa bonge la demu kwa Mondi regardless ya madhaifu yake!
Iwe pinned
 
Kwa madufu ya eyoo Laizaa ataendelea kutikisa tandale na Kenya na Uganda tu! Music yenye taste kama ya Burnaboy iko level zingine 😂😂😂
Marekani nani mwenye mda wa kuskiliza upuuzi wa diamond kinacho mbeba diamond ni beat tu, embu skiliza Kilometres ya Burna ni kisanga

Diamond anatakiwa ajipange sana,
 
Marekani nani mwenye mda wa kuskiliza upuuzi wa diamond kinacho mbeba diamond ni beat tu, embu skiliza Kilometres ya Burna ni kisanga

Diamond anatakiwa ajipange sana,
Kaka Jambazi pia hawa mameneja ni wapuuzi. Imagine meneja ambaye pia ni mbunge anatoka hadharani na kusema kuwa toka mkewe afariki hawezi hata kujifulia nguo za ndani.. tena bila tafsida anataja CHUPI.
 
Hahahah sasa Producer hana hela ya kodi kubabae kuna kazi tena hapo😂?
Mkuu waache watu wapumue nimekusoma toka kule 😀 😀 😀 😀 😀 kuna Jeje ukikaa kwa utulifu sana zile idea za dada yule anayejichezesha hakuna tofauti na on the low ya bwana Burna ambayo ilitoka Nov 2018.

Yapo mengi sana kwa team hizi zenye kelele ,mpaka sasa nachojua ndio zimechangia kwa kiasi kikubwa sana kuua vipaji na mziki kama wa Burna Boy.
 
Back
Top Bottom