Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

Meneja wake wa kimataifa ni Salaam SK ambaye amepigwa life Ban ya kuingia Marekani.
Meneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
Life Ban?? but why?
 
Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti[emoji23] tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?[emoji23]

Angevaa smart sasa ameonekana kituko hamna hata mtu mwenye habari naye yani aibu kichizi! Imagine unaenda sehemu kama ile hamna hata mtu anayekushobokea hata msanii tu mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] yupo na babutale tu wanapuyanga na kushangaa shangaa!

Zari brought class to that fool ila ushamba wake na uswahili wa ile familia ndio uliwafanya wakatengana [emoji23][emoji23][emoji23]! Ila kimsingi Zari alikuwa bonge la demu kwa Mondi regardless ya madhaifu yake!
Diamond alipaswa aendele kugonga nyama ya zari Hadi leo .

Wale ndugu zake waswazi Ni nuksi samtaimu
 
You must understand burna anasikika sana marekani kuliko diamond, burna boy also heard in France more than diamond.
Unaona hatuna representatives hasa kwenye International Medias hivyo inamlazimu mtu mpaka amtafute mshikaji wa mshikaji ili nyimbo isikike huko nje....na hapo kama ni kuhonga siyo kitoto
 
Unajua asili ya BET awards?ni mambo ya siasa baada ya kuona wazungu wanawabagua blacks katika mambo ya sanaa kama kutopiga nyimbo za blacks kwenye Tv na radio,so BET wanapinga udhalimu,daimond yupo upande wa wadhalimu ndio maana kaangukia pua na manguo yake kama gods must be crazy
Ni tuzo iliyokuja kushindana na Emmy Awards
 
Na watoe nyimbo nzuri sio utopolo wanaoimba kwa sasa, sio kamata wala ndombolo sijui blah blah gani yenye ubora wa kuchukua tuzo yoyote hata kama ni ya mchangani. Wasanii wetu kama wameishiwa mashairi wakubali kutungiwa nyimbo sio mtu unaimba kamata kamata wimbo mzima.

Tuzo = Muziki mzuri + Investment kubwa.
Mziki mzuri ukoje.!
 
Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti😂 tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?😂

Angevaa smart sasa ameonekana kituko hamna hata mtu mwenye habari naye yani aibu kichizi! Imagine unaenda sehemu kama ile hamna hata mtu anayekushobokea hata msanii tu mwenzio 😂😂😂 yupo na babutale tu wanapuyanga na kushangaa shangaa!

Zari brought class to that fool ila ushamba wake na uswahili wa ile familia ndio uliwafanya wakatengana 😂😂😂! Ila kimsingi Zari alikuwa bonge la demu kwa Mondi regardless ya madhaifu yake!
Mi nilishangaa japo na Ukapuku wangu nani alimshauri Mond avae lile Vazi it was one of the worst decison ever sawa na ile yakutengana na Zari, amekosa confidence maskini akawa anashangaa shangaa na Meneja wake badala ya kumwongezea Confidence akamwacha tu ana hang.........nadhani kuna wizara inahusika hapa juu ya Ushauri wa lile vazi
 
Unafaa kuuguza mgonjwa, nimependa namna yako ya kufariji mtu
 
Usijali ukipata utafatilia.
We kama huwezi kutoa muhtasari kausha tu.

Mambo ya kuniambia "ukipata utafatilia" ushanipangia bajeti hapo bila mimi kupenda.

Unanipangia bajeti bila kunipa hela, halafu unaniambia nisijali.

Unanikanyaga, nikikuambia umenikanyaga, unaniambia nisijali!
 
Wakosoaji wanapendekeza Diamond atoe mziki mzuri.!

Mziki M-zuri ukoje ?
M-baya pia ukoje ?
.
 
Mandezi wale walimpotezea
Nyota yake iling'aa Sana wakati Yuko na zari.

Alivyoanza kuwala Hawa vinukamkojo. Wa bongo curve ikaanza kushuka .


Saivi anatembelea jina Ila Hana jipya Wala maajabu hata nyimbo zake nyingi zina matusi[emoji1787]
 
Back
Top Bottom