Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashibiki wa aina yako ndo mnaompotosha msanii wenu, hapa tunachangia hoja ili kumjenga msanii wetu we unaleta vijembe.mtaiongea mengi sana mwaka huu lakini huo ni wivu wa maendeleo aliyonayo diamond hamuwezi kumfikia hata siku moja kwa chuki hizo badirikeni
Ile lugha ya kimataifa anaijua vizuri? Kuna mtu hapa anamsingizia eti ile lugha haijui eti hata sadala angeshinda meneja angepata wakati mgumu kutoa neno la shukraniMbona babu Tale ana Masters ya uhusiano wa kimataifa!
Tupe wasifu wa mama Dangote kwanza kabla hatujaanza kutoa maoni
Anasikika huko kwasababu ya management.You must understand burna anasikika sana marekani kuliko diamond, burna boy also heard in France more than diamond.
Kwa madufu ya eyoo Laizaa ataendelea kutikisa tandale na Kenya na Uganda tu! Music yenye taste kama ya Burnaboy iko level zingine 😂😂😂Burna Boy huwezi mfananisha na Diamond, hes way too far kwa international music.
Diamond yuko vizuri hatukatai.
Ila sio kwa lever, za Burna, Wizzkid wala Davido achilia mbali wengine.
Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti😂 tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?😂Nakubaliana na wewe! pia isitoshe Wakati alipokuwa na Zali Diamond ndo alipata nafasi ya kufanya kazi nyingi na nzuri na wasanii mbali mbali wa nje-ata Zali angeweza kuwa manager mzuri kwake lakini amezungukwa na vilaza ambao awatopenda aje mwenye akili kuliko wao kwa Diamondi lazima watamfanyia figisu figusu atoke!! kule BET sijui kama ata Ukumbini aliingia🤣🤣🤣 picha zote yupo nje na ni za mchana....mle ndani kulikuwa na wasanii wengi aliofanya nao kazi how comes akuna ata kapicha kamoja akiwasalimia??? Dogo aliishia nje ...so sad kwakeli
Na watoe nyimbo nzuri sio utopolo wanaoimba kwa sasa, sio kamata wala ndombolo sijui blah blah gani yenye ubora wa kuchukua tuzo yoyote hata kama ni ya mchangani. Wasanii wetu kama wameishiwa mashairi wakubali kutungiwa nyimbo sio mtu unaimba kamata kamata wimbo mzima.Diamond na wasanii wengine kina Harmonize & Kiba kwasasa hawawezi kumshinda Burna Boy hata wakiwa na mameneja malaika, bado wanatakiwa kukuza sana sanaa zao ziwe za kimataifa zaidi, hawa wasanii wetu mwisho wao kwasasa ni East Afrika tu japo wana makeke kibao lakini ukweli ndio huo.
Salaam kwanini amepigwa hiyo ban?Meneja wake wa kimataifa ni Salaam SK ambaye amepigwa life Ban ya kuingia Marekani.
Meneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
We mwehu ukiamua kumponda mtu unasiliba kichizi dadeki🙌😀😀😀Hahahahah BET hatuitaji walinda mageti😂 tunataka watu wenye akili timamu sasa unavaa kimasai umeambiwa kuna tuzo za utamaduni mle?😂
Angevaa smart sasa ameonekana kituko hamna hata mtu mwenye habari naye yani aibu kichizi! Imagine unaenda sehemu kama ile hamna hata mtu anayekushobokea hata msanii tu mwenzio 😂😂😂 yupo na babutale tu wanapuyanga na kushangaa shangaa!
Zari brought class to that fool ila ushamba wake na uswahili wa ile familia ndio uliwafanya wakatengana 😂😂😂! Ila kimsingi Zari alikuwa bonge la demu kwa Mondi regardless ya madhaifu yake!
Say no more 😂😂😂!!!We mwehu ukiamua kumponda mtu unasiliba kichizi dadeki🙌😀😀😀
Una u timu mbaya sanaSay no more 😂😂😂!!!
Inasemekana jina lake lipo kwenye list ya wauza unga.Salaam kwanini amepigwa hiyo ban?
Af hata sinaga utimu ila nimejiskia tu kumpaka huyu fala😂😂😂Una u timu mbaya sana
Nguvu ya kufurahi unatoa wapi mpendwa huo ndio utimu ila nae ajifunzeAf hata sinaga utimu ila nimejiskia tu kumpaka huyu fala😂😂😂
Geuza haya Manene kwa kiingereza,..Siku zote ni ngumu sana msanii anayeimba nyimbo zake kwa kiswahili kumshinda msanii anayeimba nyimbo kwa lugha ya Malkia Elizabeth wa Buckingham palace. Mshawishini Mond awe anatunga na kuimba nyimbo zake kwa lugha ya malkia ndiyo ataweza shinda tuzo za maana,vinginevyo mtasubiri sana.