Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

Wanalijua hilo hata wasipo mpa sifa yake,mengi anayafanya wengine hawafanyi. Naona kijana anataka kuwabwaga watoto wa label yake kisha wachoka, msifanye masihala kuwekeza kwa mtu naona jamaa anaogopa lawama au sijui bajeti ya promo imetikisika.

Kuhusu Rayvanny uzushi dogo yupo vizuri sana na WCB.
 
Alitaka kushindana na Mond.. Sio rahisi kiasi hicho
 
Sasa mkuu huku mtaani kwenye vijiwe vya kahawa wanasema jamaa ni FREE MASON...
Nanukuu...
Kapewa nyota ya Umaarufu, mvuto, ushawishi na Mafanikio...ndio maana ana ma tattoo ya kishetani, pete za mvuto, cheni za ajabu zenye nembo mbalimbali za wajenzi huru...

Halafu kwenye suala la imani yake (kiislamu) hatumuoni sana ibadani (japo ni jambo binafsi)...

Wengine wanasema oooh Diamond hawezi kuoa kwa sababu ya maagano aliyoingia na Freemasons hayapatani...yaani agano la kafara zao na agano la ndoa takatifu ya kidini haviingiliani?

Wanaenda mbali zaidi wanasema Alichoruhusiwa tu ni kuzalisha tu wanawake na kuwa na pisi kali tu Yoyote aitakayo lakini suala la NDOA ni BIG NO! Akioa mafanikio yake yote yatapotea na mvuto wote utapotea na huenda akapigwa tukio kubwa na wajenzi huru tukamsahau kabisa


Mwisho wa kunukuu...

SASA MTAALAMU HAYA MANENO NI YA KWELI AU HUKU KIJIWENI WANATUPANGA TU?

NB: Hayo maneno ni ya kwenye vijiwe vya kahawa sio yangu!

Mimi kwangu namkubali ni msanii anaeitangaza Tanzania kimataifa, hayo mengine ni personal tu siwezi kuingilia na kumjengea chuki/wivu kwa mtu anaepambana
 
Ndio maana nyimbo zake ni za matusi matusi tu
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwenye hili swala la Freemasons na akili ndogo pekee ndio hueneza hizo propaganda potofu.. Wavivu wa kufikiri hukimbilia hoja ya Freemasons kama njia ya mkato ya ku justfy hoja zao potofu bila kuzingatia mtu katoka wapi na kapambana vipi mpaka kafika hapo alipofikia
 
Wanasema taarifa za uongo zisipokanushwa watu huamini ni ukweli
 
Wanasema taarifa za uongo zisipokanushwa watu huamini ni ukweli
Sio kila kitu ni cha kujibu ama kukanusha... Waangalie wote wanaoshadadia hizo ishu za Masons kiwango chao cha uelewa elimu na status zao za kimaisha.. Asilimia 90 ni washindwa na watu wanaoishi kwenye ulimwengu wa kufikirika.. Wasiotaka kushughulisha bongo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…