EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini muda mwingie wanakuwa na hoja ee?Sio kila kitu ni cha kujibu ama kukanusha... Waangalie wote wanaoshadadia hizo ishu za Masons kiwango chao cha uelewa elimu na status zao za kimaisha.. Asilimia 90 ni washindwa na watu wanaoishi kwenye ulimwengu wa kufikirika.. Wasiotaka kushughulisha bongo zao
Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifuHapo umeyumba kumhusisha Mungu, Mungu hayupo hapo labda useme ibirisi ndio kamuinua Mungu hainui waovu, nyimbo zake zimejaa kufuru, matusi na laana Mungu gani gani unayemzungumzia hapa? Kama kafanikiwa ni Kwa jitihada zake na shetani wake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Mungu hawezi mtuma mtu au kumuinua ili atangaze umende
Au pombe
Hizo ni juhudi zake, Mungu kampa Uhai
Mbna Povu jingi, vipi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavu wa watanzania hawtaki kuamini ndo ukweli chuki na ufala wanajifanya wanawajua sijuo burnaboy na matako wizkid
Sio mapungufu, na hayo Wala sio mapungufu ni maudhui ya nyimbo zake je zinamsifu Mungu, zinaasa au kuonya jamii?? Au zinapotosha, na ni Mungu gani atahusika na hayo maasi Mpaka amuinue anayeyatenda??Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu
Ila Mungu hahusiki, yeye anamjalia Afya tuNimeandika hivi[emoji1541]
Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu
Ndiyo maana watu wanaogopa kupost kwakuwa wanaonekana wanajipendekeza,pindi wanapoleta bandiko linalomuhusu mtu fulaniMkuu na wewe umeanza kuwa chawa ama namna gani!?
Wakati tunajadili haya anaendelea kumake na kuzidi kujikita kileleni.. Huyu kapewa tumpe heshima yake.. Tena afadhali yeye kuliko hao manabii na mitume wanaojifanya watakatifu sana kumbe ni wabaya na wachafu kumzidi Mond kwa mbali sanaSio mapungufu, na hayo Wala sio mapungufu ni maudhui ya nyimbo zake je zinamsifu Mungu, zinaasa au kuonya jamii?? Au zinapotosha, na ni Mungu gani atahusika na hayo maasi Mpaka amuinue anayeyatenda??
Kwani dhambi ni nini? Kwahiyo Kwa mujibu was maandiko Mungu anawainua wenye dhambi?Hapana ni sehemu ya uumbaji.. Hivi wewe ni mkamilifu? Hutendi dhambi?
Dunia Ina wakuu wawili wa anga shetani Na Mungu ,shetani pia anaweza kukuinua so Kwa swala la bwana mdgo sidhani kama ni Mungu huyu tunayemwabudu
Mond sio muimba kwaya wala mhubiri Mungu hugawa vipawa kwa watu wote HABAGUI .. Hutupa wote hewa jua na kila hitaji kwa vipimo vyake.. Usiangalie matokeo angalia asiliKwani dhambi ni nini? Kwahiyo Kwa mujibu was maandiko Mungu anawainua wenye dhambi?
Na Mungu aliwaangamiza sodoma na gomora Kwa sababu ya uovu licha ya kuwa aliwaumba ndo maana nakuambia kwenye hili la mafanikio ya Diamond mtoe Mungu mafanikio yake hayatokani na Mungu