Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi sijazungumzia kuimba kwake nazungumza issue ya kuinuliwa na Mungu, Sauli ambaye ni Paulo alikuwa muuaji lakini Ili Mungu amuinue Ilikuwa ninlazina ambadilishe kwanza, Mungu hamuinui mwenye dhambi, Wala mafanikoo ya mwenye dhambi hayahusiani na Mungu, sijazungumzia habari ya muimba kwaya au mhubiri na kumbuka Mungu hamuinui Mtu hivi hivi lazima Kuna kusudi(mapenzi) na kusudi la Mungu ni kuwavuta watu wote wamtumikie yeye.Mond sio muimba kwaya wala mhubiri Mungu hugawa vipawa kwa watu wote HABAGUI .. Hutupa wote hewa jua na kila hitaji kwa vipimo vyake.. Usiangalie matokeo angalia asili
Sasa lazima utofautishe kipawa na kuinuliwa ni vitu viwili tofautiMond sio muimba kwaya wala mhubiri Mungu hugawa vipawa kwa watu wote HABAGUI .. Hutupa wote hewa jua na kila hitaji kwa vipimo vyake.. Usiangalie matokeo angalia asili
Haitaondoa ukweli kwamba Mond kainuliwa na Mungu katika kipaji na vipawa vyake hata kama nikikanusha hapa kitu ambacho siwezi kufanya kamweNa Mimi sijazungumzia kuimba kwake nazungumza issue ya kuinuliwa na Mungu, Sauli ambaye ni Paulo alikuwa muuaji lakini Ili Mungu amuinue Ilikuwa ninlazina ambadilishe kwanza, Mungu hamuinui mwenye dhambi, Wala mafanikoo ya mwenye dhambi hayahusiani na Mungu, sijazungumzia habari ya muimba kwaya au mhubiri na kumbuka Mungu hamuinui Mtu hivi hivi lazima Kuna kusudi(mapenzi) na kusudi la Mungu ni kuwavuta watu wote wamtumikie yeye.
NARUDIA TENA KWENYE MAFANIKIO YA DIAMOND MTOE MUNGU HAUSIKI
Thibitisha Mungu yupo kweli.Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si . Lakini kwa Mond tunaweza kumfanyia ibada mwenyezi Mungu amjaalie maisha mengi mengi[emoji1545][emoji818]
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.Tofauti yake ni nini.. Hebu tupe elimu kidogo tujifunze
Oooh kumbe umeamua kuiweka hivyo bila kuangalia uhalisia wake?Haitaondoa ukweli kwamba Mond kainuliwa na Mungu katika kipaji na vipawa vyake hata kama nikikanusha hapa kitu ambacho siwezi kufanya kamwe
Kuna vitatu vitatu inabidi uvijue kwa hakika bila kuvichanganyaKipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
A gift is as a precious stone in the eyes of him that hath it: whithersoever it turneth, it prospereth.
Mithali 17:8.
Kipawa mtu huzaliwa nacho na akikitambua akakitumia basi humnufaisha, ndicho kilimfanya diamond kuwa hapo na Kwa bahari mbaya sana Ibirisi hukiwah mapema Ili na yeye anufaike nacho. Lakini kuinuliwa na Mungu hutegemea mahusiano aliyonayo mtu na Mungu aliyemkirimia hicho kipawa. Kumbuka Mungu humuinua mtu kwa kusudi lake.
KwaniniWengi huwa havavuki 50
Hakika mtumishiYes, Bible inasema kuwa
Lk. 6:45Swahili Union Version (SUV)
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
🤝🏻🤝🏻🤝🏻Hakika mtumishi
NatafakariNa Mimi sijazungumzia kuimba kwake nazungumza issue ya kuinuliwa na Mungu, Sauli ambaye ni Paulo alikuwa muuaji lakini Ili Mungu amuinue Ilikuwa ninlazina ambadilishe kwanza, Mungu hamuinui mwenye dhambi, Wala mafanikoo ya mwenye dhambi hayahusiani na Mungu, sijazungumzia habari ya muimba kwaya au mhubiri na kumbuka Mungu hamuinui Mtu hivi hivi lazima Kuna kusudi(mapenzi) na kusudi la Mungu ni kuwavuta watu wote wamtumikie yeye.
NARUDIA TENA KWENYE MAFANIKIO YA DIAMOND MTOE MUNGU HAUSIKI